Wednesday 12 September 2012

Re: [wanabidii] Aliyemuua Mwangosia hakuwa mwenyewe

Dada Fatma,
 
Tunachanganya matukio naona. Kuna vitu vingi sana vilitokea siku ile na sio kila alichotendewa marehemu ilikuwa ni mauaji. Vingine vilikuwa ni ukiukwaji tu mkubwa wa haki zake za kiraia au za kikatiba. Issue inayozungumzwa hapa ni kuhusu MAUAJI ya hayati Mwangosi, narudia MAUAJI ya hayati Mwangosi. Kwamba kuna maaskari wengine walishiriki kumpiga, kumtukana na kumnyanyasa sio hoja hapa ambacho ameshtakiwa nacho yule kijana ni MAUAJI  na sio kitu kingine. Kina Kamuhanda wanaweza kuwa na makosa lakini si lazima yawe kama ya huyo mtuhumiwa.
 
Majeshi yetu yanaajiri watu ambao theoretically wana akili timamu na wanafundishwa kutii sheria na kanuni za nchi na sio kutii amri za wakubwa wao. Kuna mjadala mkali uliotokana na makala iliyoandikwa na mwandishi mmoja ikiwaaasa wale wote walioko kwenye majeshi yetu kukumbuka viapo vyao.
 
If some of them have chosen to believe kuwa they are willing to follow/execute whatever they are told, let them face the music. Sina sympathy na watu wa namna hiyo.
2012/9/13 <fatma_elia@yahoo.com>
Lutinwa
Siamini kama huyu askari aliamua mwenyewe kushoot kwa sababu ukiisoma ile taarifa iliyotolewa na shuhuda wa mauaji yale inasemekana mkubwa wao alikuwa maeneo yale na aliona kila kitu kilichokuwa kinafanyika. Hata baadhi ya watu walimwendea kumuomba atoe kauli ili waache kumtesa Mwangosi lakini aliwafungia vioo. Hiyo inadhihirisha wazi kuwa ni mpango ulioandaliwa na wakubwa wenyewe na wakausimamia hadi lengo likatekelezwa. Kutokana na historia ya mauaji ya aina hii yaanze walitegemea kuja na visingizio walivyovizoea kisha mambo yaishie hapo lakini wamejikuta katika hali ngumu inayowafanya wamtoe muhanga askari huyo mdogo

Fatma
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
Date: Thu, 13 Sep 2012 08:43:21 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Aliyemuua Mwangosia hakuwa mwenyewe

Unajua jeshi lina baadhi ya askari wanaofanana na wehu; Inawezekana kabisa aliamua mwenyewe ku shoot.
Inawezekana miezi ya Moshi haitoshi kwa askari form failure kujua yote anayotakiwa kujua.

On Sep 13, 2012 2:49 AM, "Steven Stey" <parokostey@gmail.com> wrote:
Ndio  govnment   creativity   kwamba   shout  with   death  at  Hand,
kwake  kuna  mambo  mawili   madam  umeonekana  sasa  filam,  mara  ya
 kwanza  wakati  watu  wana munkari,  VX , wakizubaa  toroli  tena
unaumwa  macho  au  kiuno,  wakilemewa   mirembe   inakuhusu  na nusu
 mshahara   we  si umeua, ka  vp  sepa  mtaaani  wakuonyeshee,  mpaka
hapo   sirivuja,not  sirikali,japo   kila  kitu na  muda  ila  laana
haina   muda  wa kuichoka,  kwa tajiri   na maskni
2012/9/13 lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>:
>
> Leo hata cjaelewa kabisa askari huyo mtuhumiwa sidhani kama ni fair kuappear court alone jaman, wapi wakubwa zake! Askari hawezi kushot bila amri bw,wapi maofisa wake waliotoa amri. Ila wananch wawaelewe washtakiwe kundi lote lililokua likimharass marehem nadhan wako zaid ya 5 ukiwa mfuatiliaji picha tulzooneshwa, pia makamanda wote washtakiwe akiwepo boss wao rpc . Askari mwenyewe ni mdoogo nadhan depo la mwaka jana, sasa kama ndo hvo askari wadogo wachanga kama hao wanapelekwa front unadhani impact yake ni nini?
> ------------------------------
>  On Wed, Sep 12, 2012 16:17 EDT Steven Stey wrote:
>
>  >Naamini aliyeetekeleza Amri ya kumuua Mwangosia hakuwa mwenyewe jamani,think Big.
>  >
>  >--
>  >Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>  >Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>  >Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>  >
>  >Kujiondoa Tuma Email kwenda
>  >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  >
>  >Disclaimer:
>  >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>  >
>  >
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Wasalaam
 
Denis Matanda,
Mine Supt,
Nzega - Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment