Wednesday 12 September 2012

Re: [wanabidii] Aliyemuua Mwangosia hakuwa mwenyewe

Ndio govnment creativity kwamba shout with death at Hand,
kwake kuna mambo mawili madam umeonekana sasa filam, mara ya
kwanza wakati watu wana munkari, VX , wakizubaa toroli tena
unaumwa macho au kiuno, wakilemewa mirembe inakuhusu na nusu
mshahara we si umeua, ka vp sepa mtaaani wakuonyeshee, mpaka
hapo sirivuja,not sirikali,japo kila kitu na muda ila laana
haina muda wa kuichoka, kwa tajiri na maskni
2012/9/13 lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>:
>
> Leo hata cjaelewa kabisa askari huyo mtuhumiwa sidhani kama ni fair kuappear court alone jaman, wapi wakubwa zake! Askari hawezi kushot bila amri bw,wapi maofisa wake waliotoa amri. Ila wananch wawaelewe washtakiwe kundi lote lililokua likimharass marehem nadhan wako zaid ya 5 ukiwa mfuatiliaji picha tulzooneshwa, pia makamanda wote washtakiwe akiwepo boss wao rpc . Askari mwenyewe ni mdoogo nadhan depo la mwaka jana, sasa kama ndo hvo askari wadogo wachanga kama hao wanapelekwa front unadhani impact yake ni nini?
> ------------------------------
> On Wed, Sep 12, 2012 16:17 EDT Steven Stey wrote:
>
> >Naamini aliyeetekeleza Amri ya kumuua Mwangosia hakuwa mwenyewe jamani,think Big.
> >
> >--
> >Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> >Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> >Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
> >
> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> >Disclaimer:
> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
> >
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment