Bwana Yesu alisema ukialikwa sehemu au ukienda sehemu ambapo unadhani kutakuwa na mkusanyiko wa watu,CHAGUENI kukaa viti vya nyuma.Ili kama mwafaa zaidi,basi mpelekwe vya mbele.Itakuwa ni aibu kurudishwa vya nyuma ikiwa ulichagua vya mbele. Nafikiri ungefuata mfano huu wa Yesu yasingekutokea yaliyokutokea....Hata hivyo kila unapoenda sehemu ni vizuri kufuata utaratibu uliopo. Makanisa mengi yana utaratibu wa kutenga sehemu za watoto na wakubwa,nafikiri hata hilo uliloenda wewe ndio hivyo.Naomba pia ukumbuke,haya makanisa yanajengwa kwa fedha za watu kutokana na uwezo wao.Hao watu kwa haja zao wameamua kukubaliana kuwa na ustaarabu fulani,sasa si wao?Kubaliana nao,sikiza neno na kisha shika hamsini zako.
Naombeni pia mkumbuke,watu wa jukwaa hili mnatofautiana sana kiimani na kimtazamo.Hizi kasoro mnazoziona ni ndogo ndogo wenzenu wanaziona kubwa sana na kimsingi wanazisimamia hizohizo katika kuwakosoa na kuwaona hamfai kabisa......nashauri mambo ya kanisa au misikiti kosoaneni mahali pengine...Ngupula
From: Chacha Wambura <wamburacm@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, 26 September 2012, 12:53
Subject: Fw: Re: [wanabidii] Sherehe za Dr. Harrison Mwakyembe za kumshukuru Mungu - Nduli, Ikolo, Kyela
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--- On Tue, 9/25/12, Chacha Wambura <wamburacm@yahoo.com> wrote:
|
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment