Monday 27 August 2012

[wanabidii] Sera ya Maendeleo ya Sekta Binafsi Tanzania

Wadau mnafikiri ni kitu gani kinapaswa kuzingatiwa kuwemo kwenye Sera ya Maendeleo ya Sekta Binafsi ambayo tangu tupate uhuru haijawahi kuwepo? Naomba mchango wako wa mawazo ili niweze kuingiza kwenye mchakato mzima wa hii Sera kwa maendeleo ya Taifa letu. Nini unafikiri hakipaswi kuwepo kabisaaaa?

--
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment