Saturday 18 August 2012

[wanabidii] Re: Nani anapaswa Ku-update website ya Serikali

ni vizuri tukajua kwanza nani ana manage hii tovuti ya serikali
tanzania.go.tz , maana unaweza kukuta ni mtu mmoja aliyesajili sehemu
fulani na yeye ameacha kazi hapo kila kitu kikafa , ukiuliza tznic
unaweza kupata taarifa zaidi , pia nadhani tovuti ya serikali
haitakiwi kuwa na kila kitu kunatakiwa kuwa na vitu vya muhimu tu
vingine vyote vishuke kwenye idara za serikali na zisomwe hapo kwa
njia ya feed kila zinapofanyiwa maongezeo mbalimbali .

mwisho napenda kusisitiza haya ya idara za serikali ku Outsource
shuguli kama hizi kwa kampuni nyingine zinazoweza kufanya shuguli hizi
au watu binafsi wa habari kwa malipo , kuliko kutegemea wafanyakazi wa
ndani ambao wanaweza kuwa na shuguli nyingine au hawana uwezo mkubwa .

On Aug 18, 6:48 pm, lucs yo <luc...@gmail.com> wrote:
> Wanabidii,
> Tafadhali nihabarisheni, ni nani haswaa anapaswa ku-update hii website ya
> Serikali; inatia aibu kuona bado baraza la mawaziri la zamani lina appear
> kwenye hii website
>
> http://www.tanzania.go.tz/government/cabinet.htm

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment