Saturday 18 August 2012

[wanabidii] Re: Msiba mzito kwa wanahabari

Wapendwa, mwenzetu Alfred Mbogora, mwanahabari na mtetezi wa haki ya kupata habari is no more! Kwa kweli hili ni pigo zito sio tu kwa familia bali pia kwa tasnia ya habari! Poleni sana Bw Kajubi na timu nzima ya Baraza la Habari! Bwana ametoa na Bwana ametwaa! Jina lake lihimidiwe! Lilian R.K
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

-----Original Message-----
From: Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 18 Aug 2012 12:28:04
To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] MSAADA TUTANI.

Wakuu.

Naomba mwanabidii mwenye mawasiliano au wanabidii waliooko mogodi wa
dhahabu wa Buzwagi wanisaidie mawasiliano ya kitengo cha ajira
nimeingia kwenye tovuti sijaiona.

Kuna kazi walizitangaza kwenye Dailynews lakini anuani ya barua pepe
waliyotoa kwa ajili ya kutuma maombi ina mushkeri wa kupokea barua
pepe.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.

--
"Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". Regia Mtema.
--
+255 (0) 713 (784) 24 67 64.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment