Tuesday 14 August 2012

[wanabidii] Re: MASWALI NA MAJIBU KUHUSU VITAMBULISHO VYA TAIFA

Mkurugenzi wa NIDA amesema wale ambao walishindwa kujaza fomu za
vitambulisho vya taifa kwa mkoa wa dar es salaam watatengewa vituo
maalumu kwa ajili ya shuguli hiyo , hadi sasa hivi ni watu milioni 2
wa mkoa wa dar es salaam ndio wamedhibitika kujaza fomu hizo .

On Aug 13, 8:34 am, Yona Maro <oldmo...@gmail.com> wrote:
> Faida na Umuhimu wa Vitambulisho vya Taifa
>
> Vitambulisho vya Taifa ni chachu ya maendeleo ya kiuchumi, kijamii na
> kisiasa.
>
>    1. Vitasaidia kuongeza wigo wa mapato ya Serikali
>    2. Vitasaidia kumtambua mhusika anapohitaji kupatiwa huduma katika
>    taasisi mbalimbali kama vile benki, taasisi za mikopo na huduma za afya.
>    3. Vitasaidia kumtambua mhusika anapohitaji kupatiwa huduma katika
>    taasisi mbalimbali kama vile benki, taasisi za mikopo na huduma za afya.
>    4. Vitarahisisha kuwatambua wakwepaji wa kurejesha mikopo kutoka kwenye
>    benki na asasi mbalimbali za fedha nchini.
>    5. Vitasaidia kuweka kumbukumbu za matukio ya uhalifu katika daftari la
>    kumbukumbu la kielektroniki.
>    6. Vitawezesha kumtambua mtu anapofanya biashara au shughuli nyengine
>    kwa kutumia majina tofauti.
>    7. Vitafanikisha kuhakikisha kuwa mtu anapata stahili zake za jamii. Kwa
>    mfano, kupata malipo ya pensheni, haki za matibabu, haki za kujiunga na
>    masomo ikiwa ni pamoja na stahili zozote ambazo raia wa Tanzania anastahili.
>    8. Vitasaidia kusaidia kuondoa watumishi hewa kwenye mfumo wa mishahara
>    ya 'payroll' ya Serikali.
>    9. Vitaimarisha utendaji kazi Serikalini kwa kuwa na kumbukumbu sahihi
>    za watumishi na malipo ya stahili zao, hasa pale wanapostahafu.
>    10. Vitarahisisha zoezi la kuhesabu watu (sensa).
>    11. Vitarahisisha zoezi la kuhuisha daftari la wapiga kura.
>
> http://www.nida.go.tz/swahili/index.php?option=com_content&view=artic...
>
> 2012/8/13 Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
>
>
>
>
>
>
>
> > Kipindi maalumu kuhusu vitambulisho vya taifa kinarushwa na TBC1 ,
> > anayeongea ni raisi mstaafu wa awamu ya pili ndugu Ali Hassan Mwinyi
> > tafadhali tazama ujifunze mambo mbalimbali yanayohusu vitambulisho vya
> > taifa .
>
> > On Aug 6, 6:42 pm, abdallah zuberi <deskman1...@yahoo.co.uk> wrote:
> > > OK NASHUKURU SANA WANABIDII KWA MAJIBU KUHUSU VITAMBULISHO
>
> > > ________________________________
> > >  From: Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
> > > To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> > > Sent: Monday, 6 August 2012, 18:30
> > > Subject: [wanabidii] Re: MASWALI NA MAJIBU KUHUSU VITAMBULISHO VYA TAIFA
>
> > > Kuna kipindi maalumu sasa hivi TBC1 ambapo mkurugenzi mkuu wa NIDA
> > > anajibu maswali mbalimbali ya waandishi wa habari unaweza kuangalia
> > > saa hii .
>
> > > Kuhusu wale walio nje ya nchi wanaosoma au kufanya chochote na kukosa
> > > nafasi hii amesema utaratibu utafanyika watu hao wakirudi nchini ili
> > > waweze kutoa taarifa zao .
>
> > > On Aug 2, 2:58 pm, abdallah zuberi <deskman1...@yahoo.co.uk> wrote:
>
> > > > nawashukuru nyote mlionipa majibu, nawatakia kila la kheri huko
> > nyumbani mm niko india
>
> > > > ________________________________
> > > > From: Yona Maro <oldmo...@gmail.com>
> > > > To: wanabidii@googlegroups.com
> > > > Sent: Thursday, 2 August 2012, 11:18
> > > > Subject: Re: [wanabidii] Re: MASWALI NA MAJIBU KUHUSU VITAMBULISHO VYA
> > TAIFA
>
> > > > Pia aliongelea suala la vyeti na nyaraka nyingine ambazo watu
> > wanaombwa kuwasilisha akasema ni kwa sababu ya kuwaweka katika makundi
> > sahihi watu husika kwa mfano wa kiwango fulani cha elimu .
>
> > > > 2012/8/1 SHIRIKISHO LA VYAMA <shivyaw...@yahoo.com>
>
> > > > Tunakushukuru ndg yetu Abdallah Zuberi kwa moyo wa Uzalendo, kwakuwa
> > hivi ni vitambulisho vya walipa kodi walio Tanzania usihangaike, kwakuwa
> > sensa imeweka kipengele cha kuwatambua mlio nje ya nchi ili kuweka utarati
> > wa jinsi mtakavochangia pato la nchi unaombwa nyumbani kwako/kwenu hapa
> > Tanzania uwasisitize watoe taarifa zako pindi wahesabuji watakapopita
> > nyumbani. Hiyo itatosha tu! Kama ni Urai tu passport yako uliosafiria
> > inatosha kabisa.
>
> > > > >Novat
>
> > > > >________________________________
> > > > >From: Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
> > > > >To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> > > > >Sent: Wednesday, August 1, 2012 6:27 PM
> > > > >Subject: [wanabidii] Re: MASWALI NA MAJIBU KUHUSU VITAMBULISHO VYA
> > TAIFA
>
> > > > >Jaribu kutembelea ubalozi wa tanzania ulio karibu na wewe .
>
> > > > >On Aug 1, 6:21 pm, abdallah zuberi <deskman1...@yahoo.co.uk> wrote:
> > > > >> jamani hebu niulizieni ss tulio nje ya nchi kikazi MUDA MREFU
> > tutapataje hivyo vitambulisho VYA URAIA?
>
> > > > >> ________________________________
> > > > >> From: Yona Maro <oldmo...@gmail.com>
> > > > >> To: Wanazu...@yahoogroups.com; wanabidii <
> > wanabidii@googlegroups.com>
> > > > >> Sent: Wednesday, 1 August 2012, 13:05
> > > > >> Subject: [wanabidii] MASWALI NA MAJIBU KUHUSU VITAMBULISHO VYA TAIFA
>
> > > > >> 2012/7/31 Misha <envmi...@yahoo.com>
>
> > > > >> >Ndugu zangu natumaini mu wazima popote pale mlipo.
>
> > > > >> >Hili zoezi la utoaji vitambulisho, linaruhusu na wageni kupata
> > vitambulisho? Maana  wameambiwa wajiandikishe:
>
> > > > >> >- Je,  kama wanapata vitambulisho wanakuwa ni kama raia ama?
> > > > >> >- Je,  vitambulisho watakavyopata vitakuwa ni vya muda kulingana
> > na mikataba yao ya kazi ama?
>
> > > > >> >Wasalaam
>
> > > > >> >MM
>
> > > > >> >__._,_.___
> > > > >> >Reply to sender | Reply to group | Reply via web post | Start a
> > New Topic Messages in this topic (2)
> > > > >> >Recent Activity:    * New Members 3
> > > > >> >Visit Your Group
>
> > > > >> >Switch to: Text-Only, Daily Digest • Unsubscribe • Terms of Use
> > > > >> >.
>
> > > > >> >__,_._,___
>
> > > > >> --
> > > > >> Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> > > > >> Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> > > > >> Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> > > > >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > > > >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> > kudhibitisha ukishatuma
>
> > > > >> Disclaimer:
> > > > >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for
> > any legal consequences of his or her postings, and hence statements and
> > facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies
> > that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> > Guidelines.
>
> > > > >--
> > > > >Karibu Jukwaa lahttp://www.mwanabidii.com/
> > > > >Pata nafasi mpya za Kazihttp://www.kazibongo.blogspot.com/
> > > > >Blogu ya Habari na Pichahttp://www.patahabari.blogspot.com/
>
> > > > >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > > > >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
> > kudhibitisha ukishatuma
>
> > > > >Disclaimer:
> > > > >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> > legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> > must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> > agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> > > > >--
> > > > >Karibu Jukwaa lahttp://www.mwanabidii.com/
> > > > >Pata nafasi mpya za Kazihttp://www.kazibongo.blogspot.com/
> > > > >Blogu ya Habari na Pichahttp://www.patahabari.blogspot.com/
>
> > > > >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > > > >mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> > kudhibitisha ukishatuma
>
> > > > >Disclaimer:
> > > > >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> > legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> > must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> > agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> > > > --
> > > > Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> > > > Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> > > > Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> > > > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
>
> > > > Disclaimer:
> > > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> > legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> > must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> > agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> > > --
> > > Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> > > Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> > > Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> > > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
>
> > > Disclaimer:
> > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> > legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> > must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> > agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> > --
> > Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> > Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> > Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
>
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment