Monday 6 August 2012

[wanabidii] Re: MASWALI NA MAJIBU KUHUSU VITAMBULISHO VYA TAIFA

Kuna kipindi maalumu sasa hivi TBC1 ambapo mkurugenzi mkuu wa NIDA
anajibu maswali mbalimbali ya waandishi wa habari unaweza kuangalia
saa hii .

Kuhusu wale walio nje ya nchi wanaosoma au kufanya chochote na kukosa
nafasi hii amesema utaratibu utafanyika watu hao wakirudi nchini ili
waweze kutoa taarifa zao .

On Aug 2, 2:58 pm, abdallah zuberi <deskman1...@yahoo.co.uk> wrote:
> nawashukuru nyote mlionipa majibu, nawatakia kila la kheri huko nyumbani mm niko india
>
> ________________________________
> From: Yona Maro <oldmo...@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Thursday, 2 August 2012, 11:18
> Subject: Re: [wanabidii] Re: MASWALI NA MAJIBU KUHUSU VITAMBULISHO VYA TAIFA
>
> Pia aliongelea suala la vyeti na nyaraka nyingine ambazo watu wanaombwa kuwasilisha akasema ni kwa sababu ya kuwaweka katika makundi sahihi watu husika kwa mfano wa kiwango fulani cha elimu .
>
> 2012/8/1 SHIRIKISHO LA VYAMA <shivyaw...@yahoo.com>
>
> Tunakushukuru ndg yetu Abdallah Zuberi kwa moyo wa Uzalendo, kwakuwa hivi ni vitambulisho vya walipa kodi walio Tanzania usihangaike, kwakuwa sensa imeweka kipengele cha kuwatambua mlio nje ya nchi ili kuweka utarati wa jinsi mtakavochangia pato la nchi unaombwa nyumbani kwako/kwenu hapa Tanzania uwasisitize watoe taarifa zako pindi wahesabuji watakapopita nyumbani. Hiyo itatosha tu! Kama ni Urai tu passport yako uliosafiria inatosha kabisa.
>
>
>
>
>
>
>
> >Novat
>
> >________________________________
> >From: Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
> >To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> >Sent: Wednesday, August 1, 2012 6:27 PM
> >Subject: [wanabidii] Re: MASWALI NA MAJIBU KUHUSU VITAMBULISHO VYA TAIFA
>
> >Jaribu kutembelea ubalozi wa tanzania ulio karibu na wewe .
>
> >On Aug 1, 6:21 pm, abdallah zuberi <deskman1...@yahoo.co.uk> wrote:
> >> jamani hebu niulizieni ss tulio nje ya nchi kikazi MUDA MREFU tutapataje hivyo vitambulisho VYA URAIA?
>
> >> ________________________________
> >> From: Yona Maro <oldmo...@gmail.com>
> >> To: Wanazu...@yahoogroups.com; wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> >> Sent: Wednesday, 1 August 2012, 13:05
> >> Subject: [wanabidii] MASWALI NA MAJIBU KUHUSU VITAMBULISHO VYA TAIFA
>
> >> 2012/7/31 Misha <envmi...@yahoo.com>
>
> >> >Ndugu zangu natumaini mu wazima popote pale mlipo.
>
> >> >Hili zoezi la utoaji vitambulisho, linaruhusu na wageni kupata vitambulisho? Maana  wameambiwa wajiandikishe:
>
> >> >- Je,  kama wanapata vitambulisho wanakuwa ni kama raia ama?
> >> >- Je,  vitambulisho watakavyopata vitakuwa ni vya muda kulingana na mikataba yao ya kazi ama?
>
> >> >Wasalaam
>
> >> >MM
>
> >> >__._,_.___
> >> >Reply to sender | Reply to group | Reply via web post | Start a New Topic Messages in this topic (2)
> >> >Recent Activity:    * New Members 3
> >> >Visit Your Group
>
> >> >Switch to: Text-Only, Daily Digest • Unsubscribe • Terms of Use
> >> >.
>
> >> >__,_._,___
>
> >> --
> >> Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> >> Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> >> Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> >--
> >Karibu Jukwaa lahttp://www.mwanabidii.com/
> >Pata nafasi mpya za Kazihttp://www.kazibongo.blogspot.com/
> >Blogu ya Habari na Pichahttp://www.patahabari.blogspot.com/
>
> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> >Disclaimer:
> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> >--
> >Karibu Jukwaa lahttp://www.mwanabidii.com/
> >Pata nafasi mpya za Kazihttp://www.kazibongo.blogspot.com/
> >Blogu ya Habari na Pichahttp://www.patahabari.blogspot.com/
> >
> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> >Disclaimer:
> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
> >
>
> --
> Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment