Sunday 26 August 2012

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Re: [muXalumni:45329] Wizi wa Mizigo British Airways (BA) na Mashirika Ndegae Mengine

Kaka Makubi pole, umenikumbusha mbali sana, maana nami ishawahi kunitokea, ili kuwa ni Dar-Armstadam-Stockhorm. Nikiwa na familia, nikaamua kutumia bag langu la laptop kuwekea Pampus za mwanangu zilizotumika na laptop nikahamishia Kwenye mkoba wa my wife wangu. Kwa kuwa mkoba wangu uliandikwa Dell na jamaa kadhaa Kumbe wakawa na mikoba Kama wangu, wakati nawasili kwa mwenyeji wangu Sweeden nikashangaa badala ya Pampus Nakuta Dell mpyaaaaa, ndani unajua nilichukua hatua gani? Tukutane baada ya Makubi kufidiwa mizigo yake na BA

Sent from my iPad

On 26 Ago 2012, at 11:54 asubuhi, Augustine Rukoma <arukoma66@gmail.com> wrote:

> Pole mkuu
>
> 2012/8/26 Dr Daimon Lugano <dr.lugano@gmail.com>:
>> dawa hapa ni kuingia navyo ndani tu.pole sana mkuu
>>
>> On 8/26/12, Abel Makubi <makubi55@yahoo.co.uk> wrote:
>>>
>>>
>>> Inashangaza hii tabia wa dokoa dokoa kwenye Bags za kusafiria mashirika ya
>>> ndege kama British Airways ana mengine imekuwa kitu cha kawaida. Mimi
>>> nimesafiri juzi toka Boston-USA kupitia London kuja Dar, lakini bag ambalo
>>> nilicheck-in likachelewa siku 2 na kufika jana. Nilikuwa nimefunga na kuweka
>>> kufuli baada ya kukaguliwa Boston . Cha kushangaza bag nakuta liko zima
>>> pamoja na kufuli likikiwa intact lakini pair zangu za viatu na nguo za
>>> watoto wameiba. Vitu vingine wameacha bila kuiba. Hii ni mara ya pili
>>> kuibiwa kwenye mashirika ya Ndege, kwani mwaka 2006 pia niliibiwa viatu
>>> ndani ya bag nikiwa nasafiri ka KLM. Sasa najiuliza tutakuwa tunaweka wapi
>>> mizigo yetu? Maana yote huwezi kupanda nayo ndani ya ndege bila check-in.
>>>
>>> -- -~--
>>> muXalumni | Discuss, Share, Inform
>>> Online: http://groups.google.com/group/muXalumni?hl=en
>>> Facebook: Search for muXalumni
>>> Twitter: @muXalumni
>>> Blog: http://muhimbili.blogspot.com/
>>>
>>>
>>
>>
>> --
>> Lugano L D
>> Jimma University, Ethiopia
>>
>>
>>
>> *"Live as if you were to die tomorrow. Learn as if you were to live
>> forever." Mahatma Gandhi *
>>
>> -- -~--
>> muXalumni | Discuss, Share, Inform
>> Online: http://groups.google.com/group/muXalumni?hl=en
>> Facebook: Search for muXalumni
>> Twitter: @muXalumni
>> Blog: http://muhimbili.blogspot.com/
>>
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>
> TEMBELEA Facebook yetu:
> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment