Tuesday 14 August 2012

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Jina Langu ni Hamisi Kigwangalla!


Why double L for Kigwangalla?

I though only a single L would be more thsn enough

Napita tu

Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: "Dr. Hamisi A. Kigwangalla" <hkigwangalla@gmail.com>
Sender: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Date: Tue, 14 Aug 2012 05:16:33 -0700
To: mabadilikotanzania<mabadilikotanzania@googlegroups.com>; wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Subject: [Mabadiliko] Jina Langu ni Hamisi Kigwangalla!

Kumekuwa na tabia ya watu kulikosea jina langu la ukoo, na nimeona hii imekuwa kama ndiyo ada, kila kukicha watu wanalikoroga jinsi wanavyotaka wao...naomba niwafahamishe kuwa jina langu ni K.I.G.W.A.N.G.A.L.L.A ama kama huwezi ni bora ukafupisha kwa kuniita Kigwa, ama HK kama rafiki zangu wengine walivyozoea kuniita...na hata hivyo watanzania tujengeni utamaduni wa kuzingatia, kuandika na kutamka majina ya wenzetu ipasavyo...ni utamaduni wa kistaarabu tu na wenzetu wanajisikia vizuri kama tunawajua vizuri kwa majina yao na si vinginevyo!
Wazungu kote nilikopita huwa hawalikosei jina langu, leo hii sisi wabantu na wa-nilotic na wakushtic tunalikosea???!

Best regards,
Kigwangalla.

--
"Vision is the ability to see the invisible!"
Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
P.O.Box 22499,
Dar es salaam.
Tanzania.
Phone No: +255 754 636963
                +255 782 636963
website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
Skype ID: hkigwangalla
Blog: blog.hamisikigwangalla.com 


--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
 
 

0 comments:

Post a Comment