Thursday 16 August 2012

[wanabidii] RE: Huu ni Mwezi, au?

Donath,

Nadhani huo mwezi mmeuona upande wa mashariki. utaendelea kupungua kila siku na ukipotea kutoka alfajiri upande wa mashariki ndio utatokeza jioni upande wa magharibi (kuandama)

wataalam wa Astronomy wanaweza kueleza zaidi.



Ipuge
----------------------------------
Sent from my Nokia E7 smartphone
-----Original Message-----
From: Donath R.Olomi
Sent: 16/08/2012, 09:45
To: Donath R.Olomi
Cc: magesa@tanzaniaports.com; Richard Kasesela; issamichuzi@gmail.com; johnbukuku@gmail.com; mjengwamaggid@gmail.com; info@dewjiblog.com; haki.yako@gmail.com; wanabidii@googlegroups.com; wanataaluma@googlegroups.com; m_mbura@yahoo.co.uk; mhegera@hotmail.com; masaoe@hotmail.com; oswald_urassa@hotmail.com; innojg@me.com; jjnyella@hotmail.com; tmuganyizi@tra.go.tz; stmrema@hq.bot-tz.org; lextlm@hotmail.com; gokkibaga@gmail.com; dakifile@simbanet.net; geoffkasambula@yahoo.com; edwinfulltime@yahoo.com; dgtenga@hq.bot-tz.org; aamdimu@gmail.com; hkitenge@yahoo.com; salumm@hotmail.com; kfairom@gmail.com; askk@excite.com; jeffnsemwa@yahoo.co.uk; ericshitindi@utumishi.go.tz; mwakalinga@hotmail.com; amani37@yahoo.com; nyoxterie@yahoo.com; maponde59@yahoo.com; yetongola@hq.bot-tz.org; josephatsanda@yahoo.com; jrmsaki@yahoo.com; msafiri_1965@yahoo.com; ed@hakielimu.org; CC:; hkitenge@hotmail.com; rlwakatare@yahoo.com; jnjau@cresta-attorneys.com; hutoldu@yahoo.com; magai@immma.co.tz; masha@immma.co.tz; killpests@gmail.com; gonza30@hotmail.com; glwakatare@nwb.or.tz; lkanijo@gmail.com; clement@samcatgroup.com; iyennsemwa@gmail.com; bkaissy@tra.go.tz
Subject: Huu ni Mwezi, au?


Za asubuhi

Leo nimetoka nyumbani kwenye saa 12 kasoro asubuhi. Baada ya kwenda hatua
kama 100 toka nyumbani (kama hatua 200 toka Bagamoyo Road) nikasimama
kumpa lift jirani yangu.

Baada ya kupanda kwenye gari, akaniambia ona mwezi umetoka. Kutizama mbele
kweli nikaona mwezi mchanga (si mchanga sana utakuwa umetoka jana
nadhani). Kwa hiyo tukawa tunashangaa imekuweje wakati tunajua mwezi
unatakiwa utoke Jumamosi au Jumapili?

Kufika ofisini nawaambia wenzangu wakasema haiwezekani mwezi ukatoka leo,
kwani leo ni ya 27 na mwezi hauwezi kutoka mapema hivi.

Sasa nauliza, kuna mtu ameona mwezi? Au huko angani huwa kuna kitu kingine
kinafanana nao? Au tumeona maruerue?

________________
Sasa hivi kuna mtu kaniambia yeye na mke wako waliuona huo mwezi jana
wakiwa Arusha wakawa wanajiuliza hivyo hivyo.
__


%
%
% Dear Wazalendo
%
% Grateful circulate to health (mgt) professionals
%
%
% Merry Chrismas and Happy New Year!
%
%
% --
% "Give your energy to things that give you energy.",
%
% "Learn enough to begin and then learn as you go."
%
%
% Dr. Donath R.Olomi
% Chief Executive Officer
% Institute of Management and Entrepreneurship Development (IMED)
% Mwalimu House 7th Floor, Ilala
% P.O. Box 35036 Dar es Salaam, Tanzania E-mail: info@imedtz.org, website:
% www.imedtz.org
% Mobile +255-754-296660


--
"Give your energy to things that give you energy.",

"Learn enough to begin and then learn as you go."


Dr. Donath R.Olomi
Chief Executive Officer
Institute of Management and Entrepreneurship Development (IMED)
Mwalimu House 7th Floor, Ilala
P.O. Box 35036 Dar es Salaam, Tanzania E-mail: info@imedtz.org, website:
www.imedtz.org
Mobile +255-754-296660

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment