Thursday 23 August 2012

[wanabidii] Re: DK. MWAKYEMBE ASAFISHA BANDARINI

Dk. Mwakyembe amewatimua mabosi wa Bandari akiwemo Mgawe na manaibu wake wawili, Meneja wa Bnadari ya Dar es Salaam na Watendaji Wakuu wa Gati ya Mafuta ya Kurasini na ameunda tume ya watu saba kufanya uchunguzi zaidi.
 
Huyu ndiye Mwakyembe, jembe la umma. Hii ndiyo kali ya mchana huu wa leo

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment