Monday 27 August 2012

[wanabidii] Lowassa ndani ya dakika 90-itv leo

dah ama kweli utabili wa nabii TB Joshua kuwa piga uwa Lowasa ni Rais ajaye inauweza kuwa unaanza kutimia.

sikuamini kuona Arsenal wanauza kiungo wao mhimuu\ kwa mahasimu wao manchester.......ndivyo unavyoweza kuweka uhasama wa kisiasa ktka siasa. 

jamaa kiulaini ndani ya Manchestera uhasama kwisha na leo ataongezwa dakika 45 jambo ambalo wapenzi wa arsenal na manchester limewashangasha kwamba tafauti za mabawa ya 20015 zimeondoka

0 comments:

Post a Comment