Saturday 18 August 2012

[wanabidii] Kula nyama ya nguruwe unaweza kupata kifafa

Kwa wale wanofuga nguruwe, wanaokula kiti moto lakini na wale
wasiohusika na lolote kati ya hayo bado wanaweza kupata ugonjwa
unatokana na minyoo wanaoitwa tegu (tapeworm) unaoweza kukupelekea
kuwa na kifafa. Kwa muda mrefu watu wameamini ndugu zao wenye kifafa
wamelogwa au wameurithi, wengi hawajajua kuwa unaweza kupata ugonjwa
wa kifafa kwa kula nyama ya nguruwe ikiwa mbichi au haijapikwa vizuri
(kitimoto jina maarufu nyakati hizi za sasa) yenye lava wa tegu.
Lakini pia kula mboga za majani zisizooshwa vizuri au kupikwa vizuri.
Kwa kujielimisha zaidi soma hapa http://achengula.blogspot.com/
--




*To all the questions of your life YOU are the most possible answer. To
all the problems of your life YOU are the best solution. Trust yourself*

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment