Thursday 23 August 2012

[wanabidii] JIFUNZE UFUGAJI WA SAMAKI

Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la uhitaji wa samaki si Tanzani tu bali duniani kote kunakotokana na sababu kuu mbili:
1. Watu wengi wameanza kukimbia kula nyama nyekundu kwa vile zin kiwango kikubwa cha kolestero inayosababisha magonjwa ya moyo pale inapozidi kiwango kinachohitajika mwilini.
2. Kupungua kwa samaki kwenye vyanzo vya asili vinavyozalisha samaki kama mito, maziwa, mabwawa na bahari kunakotokana na uvuvi haramu huku idadi ya watu ikiongezeka kila siku. 

Kutokana na sababu hizo na nyinginezo, watu wengi sana hapa kwetu na kwingineko wameamua kuingia kwenye ufugaji wa samaki na wengine wanatamani kuanza ufugaji. Tatizo limekuwa ni kutokuwa na elimu ya ufugaji wa samaki hata kama uwezo wanao. Hapa nawaleteni elimu ya ufugaji wa samaki itakayo muwezesha mtu yeyote yule kuanza ufugaji kama anamtaji tena haihitaji mtaji mkubwa sana. Tembelea hapa http://achengula.blogspot.com/p/ufugaji-wa-samaki.html 

--




To all the questions of your life YOU are the  most possible answer. To all the problems of your life YOU are the best solution. Trust yourself

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment