Tuesday 14 August 2012

Re: [wanabidii] WATUMISHI 9 WALIOACHISHWA KAZI WIZARA YA MALIASILI NA UTALII


Kama nitakuwa sijasahau nakumbuka iliwahi kusemwa ya kuwa hao wanyama
walikuwa wakisafirishwa kwa kutumia ndege ya kijeshi
sasa hao maofisa wa wanyama pori ndo waliokuwa wanafanya
mipango yote hata ya kuziruhusu ndege za kijeshi kutua hapa nchini
au suala hili waliotakiwa kuachishwa kazi ni zaidi ya hao walioachishwa?


From: Demetria Kalogosho <demetria.kalogosho@tgnp.org>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, August 14, 2012 12:57 PM
Subject: RE: [wanabidii] WATUMISHI 9 WALIOACHISHWA KAZI WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

Nauliza kuhusu rasilimali walizojilimbikizia zitachukuliwa na kugawiwa sawa
kwa wasio nacho?

-----Original Message-----
From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On
Behalf Of Gwa Ntegeye
Sent: Tuesday, August 14, 2012 12:12 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] WATUMISHI 9 WALIOACHISHWA KAZI WIZARA YA MALIASILI
NA UTALII

Nikiachishwa kazi nimeshajiwekea hazina ya kutosha kifedha ama
ki-rasilimali sio kama ni shida, na hata hii hali ya kuachishwa kazi
bila kuchukuliwa hatua madhubuti ikiwa ni pamoja na kuwafirisi mali
watu hao sio sahihi.

Hii inaweza kutoonesha nguvu ama woga kwa wengine waliobaki kazini
maana atajua ngoja niharibu lakini mwisho wa siku hata nikifukuzwa
ntakuwa tayari niko economically good, so mambo haya yatakuwa endelevu

Hao waliochishwa kazi walichukuliwe hatua za kisheria japo nao
wanaweza kuwa kafara tu

On 8/14/12, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
> Wizara ya Maliasili na Utalii imechukua hatua za kinidhamu kwa watumishi
> wake tisa (9) kufuatia kadhia ya utoroshaji wa Wanyamapori Hai katika
> Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) na masuala mengine
> yanayohusu Wanyamapori. Watumishi hao wamechukuliwa hatua husika kufuatia
> kukamilika kwa uchunguzi wa tuhuma zilizokuwa zikiwakabili.
>
> (1) Waliofukuzwa kazi kutokana na ukiukaji wa sheria katika utekelezaji wa
> majukumu yao ni:
>
>    - Bw. Obeid F. Mbangwa        -    Mkurugenzi wa Wanyamapori. Wakati
> wa kadhia hiyo alikuwa            Mkurugenzi Msaidizi Matumizi ya
> Wanyamapori,
>
>      - Bw. Simon Charles Gwera - Ofisi ya Uwindaji wa Kitalii - CITES na
> Utalii wa Picha Arusha,
>
>      - Bw Frank Mremi - Ofisi ya Uwindaji wa Kitalii - CITES na Utalii wa
> Picha Arusha.
>
> (2) Aliyeondolewa Cheo cha Madaraka kutokana na kutochukua hatua kamilifu
> za ulinzi ambazo zingeweza kuzuia kutokea kwa tukio la utoroshwaji wa
> wanyama ni:
>
>    - Bw. Bonaventura M.C. Midala - Mkurugenzi Msaidizi, Undelezaji
> Wanyamapori. Wakati wa tukio alikuwa Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Kuzuia
> Ujangili.
>
> (3) Wafuatao ni Maafisa Wanyamapori Daraja la II waliotekeleza maelekezo
ya
> Wakuu wao wa kazi yaliyo kinyume cha Sheria ambao wamepewa Onyo Kali la
> Maandishi:
>
>  - Bibi Martha P. Msemo      -        Afisa Leseni, Ofisi ya Uwindaji wa
> Kitalii, CITES na Utalii wa Picha Arusha.
>
>    - Bibi Anthonia Anthony - Afisa Leseni, Ofisi ya Uwindaji wa Kitalii,
> CITES na Utalii wa Picha Dar es Salaam.
>
> (4) Bw. Silvanus Atete Okudo ni Mkuu wa Kituo cha Uwindaji wa Kitalii,
> CITES na Utalii wa Picha Arusha aliyeshindwa kufuatilia kupata maelekezo
ya
> Mkurungezi wa Wanyamapori kuhusu mtumishi wake aliyekiuka Sheria katika
> utoaji wa vibali. Aidha, alishindwa kupeleka kwa Katibu Mkuu taarifa
kuhusu
> mtumishi huyo ili achukuliwe hatua za nidhamu.
>
>    - Silvanus Atete Okudo - amepewa Onyo Kali la Maandishi.
>
> (5) Wafuatao ni Maafisa ambao uchunguzi dhidi yao unaendelea:
>
>    - Bw. Mohamed Madehele - Ofisi ya Matumizi Endelevu ya Wanyamapori
>
>    - Bibi Mariam Nyallu - Kituo cha Uwindaji wa Kitalii, CITES na Utalii
> wa Picha - Arusha.
>
> Wahusika wengine katika kadhia hiyo wasiokuwa waajiriwa wa Wizara ya
> Maliasili na Utalii watachukiliwa hatua na mamlaka nyingine husika.
>
> [MWISHO]
>
> Mhe. Khamis Suedi Kagasheki
>
> WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII
>
> 13 Agosti 2012
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




0 comments:

Post a Comment