Tuesday 14 August 2012

Re: [wanabidii] WATANZANIA WASUSIA MKUTANO WA CHADEMA LONDON

Ni kweli, Laurean, kukubalika Uingereza, siyo kukubalika Tanzania.

--- On Tue, 8/14/12, Laurean Rugambwa B. <rugambwa@hotmail.com> wrote:

From: Laurean Rugambwa B. <rugambwa@hotmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] WATANZANIA WASUSIA MKUTANO WA CHADEMA LONDON
To: "Rehema Kikwete " <rehemaki@gmail.com>, "Wanabidii Group " <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, August 14, 2012, 1:47 AM

Rehema,
Asante kwa hii taarifa ulotuwekea hapa.

Mimi sijawahi kuelewa kwanini watu wahangaishwe na watu wasio piga kura. Hayo matawi wanayofungua Chadema au CCM London, Washington ni public relations tu, haiongezi kura.

Wapiga kura wako Kishapu, Meatu, Karagwe, Bahi nk. Hao ndo wakikuzomea unapata taabu kidogo.

Kazi njema,
LR
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

-----Original Message-----
From: Rehema Kikwete <rehemaki@gmail.com>
Date: Tue, 14 Aug 2012 08:40:59
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] WATANZANIA WASUSIA MKUTANO WA CHADEMA LONDON

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimepata aibu ya mwaka hapa
jijini London baada ya Watanzania kususa kuhudhuria mkutano wao
waliofanya katika Bar imilikiwayo na Wakenya ya The Thatched House.

Sababu nyingi zilizotajwa ni pamoja na urafiki mkubwa na kukubali kila
sera ya Chama Tawala cha Uingereza cha Conservative ambacho
kinachukiwa na Waingereza wenyewe kwa sera za kulazimisha zilizoleta
hali mbaya ya maisha na umaskini nchini hapa.

Aidha ni Chama kilichoilazimisha serikali kuwabagua na kuwafukuza
Watanzania wengi waliokuwa wakiishi Uingereza na kuwarudisha Tanzania
kwa Aibu kubwa huku wakiacha mali zao nyuma.

Maandalizi ya mkutano wa Chadema pia yaliwachefua Watanzania wengi na
kukataa kushiriki kwa kuwa yalichangiwa na kufanywa na baadhi ya watu
wenye kudhaniwa kwa muda mrefu kuhusudu tabia za USHOGA na USAGAJI
wakati ambapo Watanzania wengi hawajapona kidonda kilichotibiwa kwa
mabavu na serikali ya CCM wakati iliposhinikizwa kukumbatia utamaduni
wa USHOGA na serikali ya Conservative au isahau misaada ya maendeleo
ya kitaifa. Chadema katu haikupinga shinikizo hili la rafiki zao
Conservative.

Aidha waandaaji wakuu wa mkutano huo iliwajumuisha wakurugenzi wakuu
wa SERENGETI FREIGHT, kampuni inayojishughulisha na usafirishaji wa
mizigo kwenda Tanzania na kwingineko. Kampuni ya Serengeti imekuwa
ikilaumiwa na kushutumiwa sana siku hizi kwa kutokusema ukweli kwa
Watanzania kuhusu muda, gharama za ghafla na uhakika wa usafirishaji
wa mizigo ya Watanzania ambao wengi wameishia kulipa gharama kubwa za
ziada, ucheleweshwaji au kuamua kuacha mizigo dhidi ya muda
uliokubalika. Kuhusika kwa Wakurugenzi hawa kuliongeza uchungu kwenye
kidonda kibichi.

Baadhi ya Watanzania waliokuwa wakijiburudisha ndani ya Bar hiyo na
kuangalia mashindano ya Olyimpic walimrushia Bw. Lema maswali ya
kebehi na kumzomea pia na kusema.. "Gwanda linanuka RUSHWA meku"..huku
wengine wakitoa kadi zao za CCM na kunyanyua juu.

Katika mahudhurio hayo machache,idadi kubwa walikua ni wanaCCM
waliohudhuria kwa makusudi na wengine kuchangia kwenye mkutano huo.
Baada ya mkutano vicheko vya kebehi vilisikika na kuambatana na kauli
kama ".jamaa wanabwabwaja tu hawawezi hata kujenga hoja.wanafikiri
hapa ni walipotoka..ovyoo."

Ikitarajia kufuata nyayo za CCM UK itabidi Chadema waombe miujiza ya
aina yake kupata wachama na si washabiki tu katika maeneo tofauti ya
UK ili itoke kwenye sura ya Kijikundi. CCM UK ilifanikiwa kufungua
mashina katika miji/majiji kumi hapa UK.

Habari hii imeandikwa na Rukia Kilemile
 Mwandishi huyu ni  mchambuzi wa sera za jinsia na uchumi hapa United
Kingdom.

Mwandishi si mwana chama wa chama chochote cha siasa.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com>
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com>

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment