Tuesday 14 August 2012

Re: [wanabidii] WATANZANIA WASUSIA MKUTANO WA CHADEMA LONDON

anyway ata hivyo watanzania wengi walionje si watoto wa walalahoi
hivyo upo uwezekano mkubwa wa kuwa wapenzi wa CCM kwa vile ndio
wanufaikaji wa favours za CCM

2012/8/14 Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>:
> Loh! Dada Rehema na dada Rukia Kilemile, nadhani Watanzania wenzetu hao wa
> London walikuwa wamechapa maji haswa. Mpaka wanafikiri eti kuwa London maana
> yake wana uwezo wa kuchambua hoja kuliko watu walioko Bongo? Eti "jamaa
> wanabwabwaja tu hawawezi hata kujenga hoja. Wanafikiri hapa ni walipotoka.
> Ovyo!". Yaani hawajui kwamba uwezo wa kuelewa na kuchambua hoja hautegemei
> mtu yuko wapi. Hao kweli ni watu wa baa na siyo kwamba walipuuza mkutano
> (kama kweli uilkuwapo) bali wao ndo wanapaswa kupuuzwa. Halafu sentensi ya
> ambayo ni judgment kwa CHADEMA na sifa kwa CCM mwisho eti "ikitarajia
> kufuata nyayo za CCM UK itabidi CHADEMA waombe miujiza ya aina yake kupata
> wanachama na si washabiki tu... CCM ilifanikiwa kufungua mashina katika
> miji/majiji 10 hapa UK" ni ya kwako (Rehema), ni mwandishi (Rukia) ama ni ya
> wale jamaa wa baa? Ona ilivyokaa kishabiki: CHADEMA waombe miujiza ya aina
> yake; CCM walifanikiwa kufungua matawi katika majiji 10! Tunashukuru
> kutujuza kwamba uko UK. Tupe nyingine za huko!
>
> ________________________________
> Date: Tue, 14 Aug 2012 13:19:26 +0100
>
> Subject: Re: [wanabidii] WATANZANIA WASUSIA MKUTANO WA CHADEMA LONDON
> From: kiganyi@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
>
> Hii dhadti ya " mchambuzi" wa masuala ya jinsia niliiona mara ya kwanza kwa
> dada SubiNukta kule wavuti, na kwa kweli ni mtu wa kupuuzwa kabisa! Kwanza
> imeandikwa kishabiki sana! CCM mwaka huu watachanganyikiwa!
>
> Nadhani tunakoelekea ndiko wengi tunapenda tuwe na vyama vyenye nguvu ana si
> hili "Dudu" CCM liendelea kudhani lina hati miliki ya kuongoza watanzania!
>
> Magiri.
> www.wotepamoja.com
>
> Tarehe 14 Agosti 2012 12:31 alasiri, Azaveli Lwaitama
> <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com> aliandika:
>
> Rehema Kikwete
> Asante kwa kutupa nafasi ya kufanya uchambuzi wa lugaha zilizosheheni
> propaganda za CCM- Mamboleo. Mchambuzi wa lugha kwa kigezo cha utamaduni wa
> kiuwanazuoni( scholarly traditions) unaojulikana kama " crtical discourse
> analysis" ataanzia kwenye kudadisi kwa nini unahitimisha taarifa yako kwa
> kusema "Habari hii imeandikwa na Rukia Kilemile. Mwandishi huyu ni
> mchambuzi wa sera za jinsia na uchumi hapa United Kingdom. Mwandishi si
> mwana chama wa chama chochote cha siasa." ? Kwa nini mwandishi unaye mnukuu
> unatanguliza kusema eti "si mwana chama wa chama chochote cha siasa."? Je
> alikutuma useme hivyo au wewe tu ulijituma? Pili, taarifa ya hiyo ya
> mwandishi wako inabainisha kweupe kuwa "Katika mahudhurio hayo
> machache,idadi kubwa walikua ni wanaCCM waliohudhuria kwa makusudi na
> wengine kuchangia kwenye mkutano huo. Baada ya mkutano vicheko vya kebehi
> vilisikika na kuambatana na kauli kama ".jamaa wanabwabwaja tu hawawezi hata
> kujenga hoja.wanafikiri hapa ni walipotoka..ovyoo."
>
> Sasa huyo mwandishi wako anatujulisha lipi tusilotarajia kutoka kwa watu wa
> aina hiyo? Hivi mwandishi wako hajui kuwa Watanzania wa kawaida walio
> wengi ambao wanaweza wakawa hapo London watakuwa ni wanafunzi walio
> masomoni na si wengi wangekuwa na uwezo wakuja kwenye huo mkutano kwenye Bar
> hiyo moja London . Tena wanafunzi wenyewe waje kwenye mkutano huo huku
> wakijua kuwa waandaaji wengi wao ni wana CCM wenye lengo la kukiumbua chama
> cha Chadema? Come on give us a break hatupo wote mbumbumbu kiasi hicho
> kuhusu mji wa London jamani!!! Hata huyo huyo mwandishi anakiri kuwa
> mahudhurio ya mkutano huo yalikuwa " machache,idadi kubwa walikua ni
> wanaCCM waliohudhuria kwa makusudi na wengine kuchangia kwenye mkutano
> huo"? Aaha!!!
>
> Sasa habari ya eti "Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimepata
> aibu ya mwaka hapa jijini London baada ya Watanzania kususa kuhudhuria
> mkutano wao waliofanya katika Bar imiliikiwayo na Wakenya ya The Thatched
> House" ina mashiko gani kimantika ? Ni mtu gani atapoteza muda mwingi
> kuipa umuhimu habari kama hiyo ya yenye harufu ya propaganda za CCM
> tulizozizoea Bungeni Dodoma za watu wenye kupenda kutamka mananeo ".jamaa
> wanabwabwaja tu hawawezi hata kujenga hoja.wanafikiri hapa ni
> walipotoka..ovyoo." ?
>
> Nani hasiye jua kuwa bila shaka jiji la London litakuwa nao Watanzania
> kiasi chake ambao kuwepo kwao London kunatokana na ufadhili wa serikali
> iliyo madarakani ya CCM kama vile kuwa watumishi wa serikali ya Tanzania
> kwenye ubalozi au wawakilishi wa makampuni ya Uingereza au ya Tanzania
> yenye ushirika wa karibu na serikali ya chama tawala cha CCM au matajiri
> Wakitanzania ambao wengi wao wako karibu na chama tawala cha CCM?...Ndugu
> yangu Rehema Kikwete, Watanzania wa kileo si wa zamani wa enzi za Zi dumu
> Fikra za Mwenyekiti wa CCM!!! Wamebadirika na wanabadirika kwa kasi, ari na
> nguvu zaidi kila kukicha!!!
>
> Hayo ya eti Chadema ni washirika wa chama cha Conservative cha Uingereza
> eti chenye kukumbatia uteteza wa haki za kibinadamu za mashoga, ilo nalo ni
> kichekesho maana serikali ya CCM ya enzi hizi pia hiko karibu kweli kweli
> na serikali ya Uingereza ya chama cha mseto cha Conservative na Lib-Lab .
> Pia serikali ya CCM ipo karibu kweli kweli na serikali ya Rais Obama wa
> Marekani ambayo nayo inakumbatia utetezi wa haki za binadamu za mashoga.
> Zaidi ya yote serikali ya CCM ya kileo ilikuwa na ipo bado pamoj karibu
> na Rais mtaafu wa Marekani George Bush ambaye ni wa chama cha Republican
> cha Marekani ambacho ni chama rafiki wa karibu sana wa chama cha
> Conservative cha Uingereza.
>
> Hizi propaganda za kutuambia eti Chadema kiko karibu na chama hiki au kile
> Uingereza au Marekani hazina mashiko kiitikadi kwa kungalia itikadi za vyama
> vyetu vya siasa nchini Tanzania. Vyama vyote vya kisiasa vilivyo na
> madaraka au vinavyotarajiwa kuwa na madaraka Tanzania au Uingereza au
> Marekani ni vyama venye kufuata itikadi ileile ya ubepari wa uliberali
> mamboleo. Watanzania wanachotaka nikuondoa CCM madarakani ili tuwe kama
> Uingereza na Marekani mahali ambapo vyama hivi vinatawala kwa kupokezana
> vijiti kila baada ya mika michache ili visije kujiamini mno na kufanya
> wananchi watumwa wa vyama hivi kama iliyo Tanzania iliyokidhiri kwa
> ukiritimba wa chama kimoja cha cCCM ambacho nacho ni mtetezi wa ubepari wa
> uliberali mambo leo kama kilivyo Chadema. Kutarajia kuwazuzua na kuwazuga
> Watanzania kwa kuwafanya wadhani kuwa CCM ni chama cha kimapinduzi na
> kizalendo zaidi kuliko Chadema ni kucheza karata ambayo itafanikiwa kwa
> muda kiasi lakini si kwa wakati wote na kwa watu wote. Asante hata hivyo
> kwa kutupa data za kufanyia majaribio ya uchambuzi wa propaganda hizi za
> CCM.
> Mwl. Lwaitama- CCM-Mfu
>
> ________________________________
> Date: Tue, 14 Aug 2012 02:48:17 -0700
> From: fredrick197958@yahoo.com
>
> Subject: Re: [wanabidii] WATANZANIA WASUSIA MKUTANO WA CHADEMA LONDON
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Hao wanaoenda nje ya nchi (CHADEMA&CCM)
> wanatafuta shekels kufanikisha agenda ya kuwafikia wananchi. Kwa hiyo
> tusishangae pale tunapoyaona haya.
>
> Kimsingi hawa jamaa wana haki ya kuchangia maadamu wanajua kuwa chama
> kinachochangiwa kinaenda vijijini
> kupeleka itikadi zao kwa wanachi
>
> ________________________________
> From: Gwa Ntegeye <gwantegeye@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Tuesday, August 14, 2012 12:02 PM
> Subject: Re: [wanabidii] WATANZANIA WASUSIA MKUTANO WA CHADEMA LONDON
>
> Ila hata mimi sielewi umuhimu wa matawi nchi za nje maana hata ikiwa
> nchi nzima ya nje inaunga mkono lakini sioni kama hawana mchango
> katika upigaji kura haina maana yoyote.
>
> anyway kama kuna mtu ana muono mzuri kuhusu huo uhusiano wa jamii za
> nje atuambie.
>
> On 8/14/12, Laurean Rugambwa B. <rugambwa@hotmail.com> wrote:
>> Rehema,
>> Asante kwa hii taarifa ulotuwekea hapa.
>>
>> Mimi sijawahi kuelewa kwanini watu wahangaishwe na watu wasio piga kura.
>> Hayo matawi wanayofungua Chadema au CCM London, Washington ni public
>> relations tu, haiongezi kura.
>>
>> Wapiga kura wako Kishapu, Meatu, Karagwe, Bahi nk. Hao ndo wakikuzomea
>> unapata taabu kidogo.
>>
>> Kazi njema,
>> LR
>> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>>
>> -----Original Message-----
>> From: Rehema Kikwete <rehemaki@gmail.com>
>> Date: Tue, 14 Aug 2012 08:40:59
>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>> Subject: [wanabidii] WATANZANIA WASUSIA MKUTANO WA CHADEMA LONDON
>>
>>
>> Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimepata aibu ya mwaka hapa
>> jijini London baada ya Watanzania kususa kuhudhuria mkutano wao
>> waliofanya katika Bar imilikiwayo na Wakenya ya The Thatched House.
>>
>> Sababu nyingi zilizotajwa ni pamoja na urafiki mkubwa na kukubali kila
>> sera ya Chama Tawala cha Uingereza cha Conservative ambacho
>> kinachukiwa na Waingereza wenyewe kwa sera za kulazimisha zilizoleta
>> hali mbaya ya maisha na umaskini nchini hapa.
>>
>> Aidha ni Chama kilichoilazimisha serikali kuwabagua na kuwafukuza
>> Watanzania wengi waliokuwa wakiishi Uingereza na kuwarudisha Tanzania
>> kwa Aibu kubwa huku wakiacha mali zao nyuma.
>>
>> Maandalizi ya mkutano wa Chadema pia yaliwachefua Watanzania wengi na
>> kukataa kushiriki kwa kuwa yalichangiwa na kufanywa na baadhi ya watu
>> wenye kudhaniwa kwa muda mrefu kuhusudu tabia za USHOGA na USAGAJI
>> wakati ambapo Watanzania wengi hawajapona kidonda kilichotibiwa kwa
>> mabavu na serikali ya CCM wakati iliposhinikizwa kukumbatia utamaduni
>> wa USHOGA na serikali ya Conservative au isahau misaada ya maendeleo
>> ya kitaifa. Chadema katu haikupinga shinikizo hili la rafiki zao
>> Conservative.
>>
>> Aidha waandaaji wakuu wa mkutano huo iliwajumuisha wakurugenzi wakuu
>> wa SERENGETI FREIGHT, kampuni inayojishughulisha na usafirishaji wa
>> mizigo kwenda Tanzania na kwingineko. Kampuni ya Serengeti imekuwa
>> ikilaumiwa na kushutumiwa sana siku hizi kwa kutokusema ukweli kwa
>> Watanzania kuhusu muda, gharama za ghafla na uhakika wa usafirishaji
>> wa mizigo ya Watanzania ambao wengi wameishia kulipa gharama kubwa za
>> ziada, ucheleweshwaji au kuamua kuacha mizigo dhidi ya muda
>> uliokubalika. Kuhusika kwa Wakurugenzi hawa kuliongeza uchungu kwenye
>> kidonda kibichi.
>>
>> Baadhi ya Watanzania waliokuwa wakijiburudisha ndani ya Bar hiyo na
>> kuangalia mashindano ya Olyimpic walimrushia Bw. Lema maswali ya
>> kebehi na kumzomea pia na kusema.. "Gwanda linanuka RUSHWA meku"..huku
>> wengine wakitoa kadi zao za CCM na kunyanyua juu.
>>
>> Katika mahudhurio hayo machache,idadi kubwa walikua ni wanaCCM
>> waliohudhuria kwa makusudi na wengine kuchangia kwenye mkutano huo.
>> Baada ya mkutano vicheko vya kebehi vilisikika na kuambatana na kauli
>> kama ".jamaa wanabwabwaja tu hawawezi hata kujenga hoja.wanafikiri
>> hapa ni walipotoka..ovyoo."
>>
>> Ikitarajia kufuata nyayo za CCM UK itabidi Chadema waombe miujiza ya
>> aina yake kupata wachama na si washabiki tu katika maeneo tofauti ya
>> UK ili itoke kwenye sura ya Kijikundi. CCM UK ilifanikiwa kufungua
>> mashina katika miji/majiji kumi hapa UK.
>>
>> Habari hii imeandikwa na Rukia Kilemile
>> Mwandishi huyu ni mchambuzi wa sera za jinsia na uchumi hapa United
>> Kingdom.
>>
>> Mwandishi si mwana chama wa chama chochote cha siasa.
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> <http://www.kazibongo.blogspot.com>
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> <http://www.patahabari.blogspot.com>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment