Monday 27 August 2012

Re: [wanabidii] Wanajeshi wa Tanzania Nchini sudani wafa ajalini

Waliofika huko wanasema kukinyesha mvua kunajaa maji (lowlands), budi kuwa waangalifu kupita katika mafuriko ambapo daraja wala njia huioni na gari yako hata ikiwa ni ya Jeshi sio hoovercraft ni tatizo. Wanasema wamepatikana wawili mwili wa mmoja bado.
 
Mafuriko mwaka huu yamezagaa nchi nyingi duniani yanamaliza watu. Nasi inaonekana mvua za vuri mwaka huu zitakuwa balaa. Tuhame mabondeni mapema na kukarabati nyumba mbovu zisije zikatuangukia.

From: adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, 27 August 2012, 10:18
Subject: Re: [wanabidii] Wanajeshi wa Tanzania Nchini sudani wafa ajalini

Je  kweli ajari ya kutumbukia  mtoni?  Poleni sana.

On 8/27/12, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
> Haijulikani limetumbukiaje ila kulikuwa na watu 9 ndani ya gari hao wengine
> wametoka hai
>
> On Sun, Aug 26, 2012 at 11:38 AM, Evetta S L <eve.slema@gmail.com> wrote:
>
>> Gari ilitumbukiaje kwenye maji?
>>
>> On 8/26/12, zyn lally <lallzyn@hotmail.com> wrote:
>> >
>> >> Date: Sun, 26 Aug 2012 10:52:20 -0700
>> >> From: matutetz@yahoo.com
>> >> Subject: Re: [wanabidii] Wanajeshi wa Tanzania Nchini sudani wafa
>> ajalini
>> >> To: wanabidii@googlegroups.com
>> >>
>> >>
>> >> Duu!! Pole JK, Amiri Jeshi, na Mwamnyange kwa kupoteza wapiganaji.
>> >> Tanzania imepoteza vijana muhimu kwa kazi iliyo mbele yetu. Malawi
>> >> wanakomaa na mkataba wa 1890. Mungu azilaze roho za marehemu mahali
>> >> pema
>> >> peponi!
>> >> ------------------------------
>> >>  On Sun, Aug 26, 2012 10:45 PDT nevilletz@gmail.com wrote:
>> >>
>> >>  >Poleni jama,
>> >>  >Majina yao je?
>> >>  >Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>> >>  >
>> >>  >-----Original Message-----
>> >>  >From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
>> >>  >Sender: wanabidii@googlegroups.com
>> >>  >Date: Sun, 26 Aug 2012 10:37:02
>> >>  >To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
>> >>  >Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>> >>  >Subject: [wanabidii] Wanajeshi wa Tanzania Nchini sudani wafa
>> >> ajalini
>> >>  >
>> >>  >Tanzania imepoteza askari 3 waliokuwa kwenye doria nchini sudan
>> >> baada
>> >>  >ya gari waliyokuwa wanatumia kutumbukia kwenye maji .
>> >>  >
>> >>  >Wanajeshi hao ni wale wa kikosi cha TANZBATT 6 walioondoka Nchini
>> >>  >mwanzo wa wiki iliyopita .
>> >>  >
>> >>  >Miili yao inataraji kurejeshwa nchini jumanne hii .
>> >>  >
>> >>  >--
>> >>  >Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> >>  >Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> >>  >Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> >>  >
>> >>  >Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >>  >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> >> ukishatuma
>> >>  >
>> >>  >Disclaimer:
>> >>  >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> >> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>> facts
>> >> must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>> >> that
>> >> you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> >> Guidelines.
>> >>  >
>> >>  >
>> >>  >--
>> >>  >Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> >>  >Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> >>  >Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> >>  >
>> >>  >Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >>  >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> >> ukishatuma
>> >>  >
>> >>  >Disclaimer:
>> >>  >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> >> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>> facts
>> >> must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>> >> that
>> >> you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> >> Guidelines.
>> >>  >
>> >>  >
>> >>
>> >> --
>> >> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> >> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> >> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> >>
>> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> >> ukishatuma
>> >>
>> >> Disclaimer:
>> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> >> must
>> >> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> >> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> Guidelines.
>> >>
>> >>
>> >
>> >
>> > --
>> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> > must
>> be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to
>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >
>> >
>> >
>>
>> --
>> Sent from my mobile device
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




0 comments:

Post a Comment