Monday 27 August 2012

Re: [wanabidii] Wanajeshi wa Tanzania Nchini sudani wafa ajalini

R.I.P. Makamanda wetu na Poleni wanandugu wa marehemu wetu!

On 8/26/12, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
> Tanzania imepoteza askari 3 waliokuwa kwenye doria nchini sudan baada
> ya gari waliyokuwa wanatumia kutumbukia kwenye maji .
>
> Wanajeshi hao ni wale wa kikosi cha TANZBATT 6 walioondoka Nchini
> mwanzo wa wiki iliyopita .
>
> Miili yao inataraji kurejeshwa nchini jumanne hii .
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment