Monday 13 August 2012

Re: [wanabidii] WABUNGE WA TANZANIA WASIOKUWA NA DEGREE

kigwangalla, 
ulisupport mgomo wa madk ndo maana wamakupiga chini.
badilisheni sheria mwenye degree astahili kuwa mbunge la sivyo fedheha itaendelea kuwala

From: Deodatus Balile <deobalile@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, August 13, 2012 8:24 PM
Subject: RE: [wanabidii] WABUNGE WA TANZANIA WASIOKUWA NA DEGREE

Dr. Kigwangalla salaam.

Pole kwa kushindwa uchaguzi, lakini pia hongera kwa kushiriki.

Mimi nimepata fursa ya kuwaona nyote wawili wakati mnajieleza kupitia Star TV.

Ni bahati mbaya kwamba Kigwangalla umepata fursa ya kumwona Mtanda ila hukupata fursa ya kujiona dakika tatu za mwanzo hadi swali la kwanza.

Allow me to give you a honest feedback on this. You where brilliant for the last two questions but you mortgadged the votes in the first three minutes and the first question.

Before complaining you better get the second opportunity and view what exactly stole your votes on the podium. This way you can learn better for a fruitful future. I don't mean you messed up, but you were close to that.

Let's keep learning and accept both our strength without ignoring our weaknesses.

Balile

Dar es Salaam, Tanzania
deobalile@yahoo.com
0713404827/0784404827

UNITED WE STAND, DIVIDED WE FALL

--- On Mon, 8/13/12, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:

From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Subject: RE: [wanabidii] WABUNGE WA TANZANIA WASIOKUWA NA DEGREE
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, August 13, 2012, 4:19 AM

Juma,
Kuna hoja kwamba hata wabunge wenye PhD wanatumia akili zao kama watoto wa darasa la pili. Tukishakuwa jamii ya wala rushwa, mwenye elimu kubwa anaonekana kama tatizo na wenye elimu kubwa inabidi washuke wawe kama darasa la saba. Mbunge mmoja anaitwa Msigwa ndiye aliyetoa huo usemi wa PhD na darasa la pili na kisha akaongeza kuwa: Tumefikia mahali tunaruhusu akili ndogo itawale akili kubwa. Ukienda kwenye tovuti ya Bunge utapata orodha ya wabunge wetu wote ila tatizo ni kwamba wengi wa wasiokuwa na elimu wameacha bila kujaza kitu kweny wasifu wao; na wenye elimu za mashaka nao wameminya; halafu wapo wenye elimu kubwa ambao wameogopa kuziwekwa kwa sababu watajijengea maadui. Kuna mtu kule Jamii Forum amedai kuwa Hamisi Kigwangalla ameshindwa na Said Mtanda kutonana na kujitangaza kama msomi. Ndiyo Tanzania hiyo - nchi ya mabwege; sisi ni mabwege kweli, siyo utani.
Matinyi.

Subject: Re: [wanabidii] WABUNGE WA TANZANIA WASIOKUWA NA DEGREE
To: wanabidii@googlegroups.com
From: rwechungura_nestory@yahoo.com
Date: Mon, 13 Aug 2012 09:03:20 +0000

Kwa bunge la sasa hivi degree inasaidia nini?
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

From: weston mbuba <matutetz@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 13 Aug 2012 01:42:52 -0700 (PDT)
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] WABUNGE WA TANZANIA WASIOKUWA NA DEGREE

Ili iweje?

--- On Sun, 8/12/12, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:

From: Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
Subject: [wanabidii] WABUNGE WA TANZANIA WASIOKUWA NA DEGREE
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, August 12, 2012, 9:21 AM

Naomba kujua orodha ya wabunge wa bunge la Tanzania wasiokuwa na
degree friends

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment