Tuesday 14 August 2012

Re: [wanabidii] WABUNGE WA TANZANIA WASIOKUWA NA DEGREE

Museveni once told a journalist, "in african context of state management, common sense prevails in place of degrees and diplomas"

So many issues are obviously mishandled/misjudged and wrongly presumed with devastating outcomes to the bone fide countries!
Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania.

From: SHIRIKISHO LA VYAMA <shivyawata@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 14 Aug 2012 02:17:30 -0700 (PDT)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] WABUNGE WA TANZANIA WASIOKUWA NA DEGREE

Nakubaliana na Rwechungula,

kwa sasahivi hatuna haja na digrii shida yetu ni vichwa vinavyofanya kazi. Wale wenye uzalendo wa kulinda na kutetea maslahi ya nchi na wana nchi. Mpaka sasa tunao hadi maprof. walioingia kwenye mikataba mibovu au mizuri ya kibadhirifu. Au tumesahau wale walioandaa na kuingia mikataba ya Radar walikuwa wenye digrii nzuri, wabunge tena wanataaluma!!
Tunamhitaji mtu bungeni anayekerwa na shida za wananchi kama alivyosisitiza Mwl. Nyerere 1994, tena yule anayefahamu kwanini Tanzania na wananchi wake ni maskini haijalishi elimu yake.

Mungu Ibariki Tanzania
Novat

From: "rwechungura_nestory@yahoo.com" <rwechungura_nestory@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, August 13, 2012 12:03 PM
Subject: Re: [wanabidii] WABUNGE WA TANZANIA WASIOKUWA NA DEGREE

Kwa bunge la sasa hivi degree inasaidia nini?
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

From: weston mbuba <matutetz@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 13 Aug 2012 01:42:52 -0700 (PDT)
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] WABUNGE WA TANZANIA WASIOKUWA NA DEGREE

Ili iweje?

--- On Sun, 8/12/12, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:

From: Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
Subject: [wanabidii] WABUNGE WA TANZANIA WASIOKUWA NA DEGREE
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, August 12, 2012, 9:21 AM

Naomba kujua orodha ya wabunge wa bunge la Tanzania wasiokuwa na
degree friends

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment