Monday 20 August 2012

Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge

Millicent,
Jaji mkuu wa Kenya(Dr.Willy Mutunga) ni mwanaharakati wa kufa mtu!

Lakini huyo amekali kiti na walimpa kwa kumjua msimamo wake, maandiko yake and I can tell you, he will transform judiciary in Kenya.

Just watch our brothers are ahead of us in everything, whether we like it or not. They have something to teach us.

Good evening,
LR
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

-----Original Message-----
From: Millcent <millcent@yahoo.com>
Date: Mon, 20 Aug 2012 15:53:42
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Cc: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki,
maadili ya bunge


Tony PT, Mh Lissu, Chambi na wengine habari


Tunashukuru kwa shule kali kuhusu nafasi ya Activism kwenye bunge na siasa kwa jumla


Nakubaliana na wengi lengo kuu ya siasa ni kuboresha maisha ya nchi husika na silaha zote zinatakiwa kutumika iwe ni 'uanaharakati', u Polisi, u Jaji nk
.Lengo kuu ni tuondoe maovu yanayotukabili


Tony PT unafaa ungekuwepo Bungeni na kuungana na wakina Mh Lissu kuiendeleza nchi

Sent from Millcent's iPhone 4s

On Aug 20, 2012, at 17:18, "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk <mailto:tony_uk45@yahoo.co.uk> > wrote:



Chambi,

Heshima hainunuliwi ni ya bure tu! Msemo huu ni wa siku nyingi na hauna maana yoyote mbaya dhidi ya wanaouthamini! Tuheshimiane tu...! Akili ni nywele kila mtu ana zake!
Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania.
----------------

From: Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com <mailto:chambi78@yahoo.com> >
Sender: wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com>
Date: Mon, 20 Aug 2012 07:06:06 -0700 (PDT)
To: wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com> <wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com> >
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge



D, kilichomkera Tony PT ni matumizi ya Tony D. Kwa heshima na taadhima ambayo Bunge linatakiwa kuwa nazo ili kusiwe na kuumbuana basi nitakuwa natumia Tony PT tu badala ya Tony D ili kulinda hiyo "bon-fide" inayojificha nyuma ya 'anonomity'. Ila, kha, haya ma-bona fide ndiyo yanasababisha tuwe na staha kwa mafisadi kisa kuwataja kwa majina ni kuwaumbua. Whatever happened to Name and Shame? Ah, ndio, ni mambo ya harakati za kina Tundu tu hayo - yanapaswa kuishia Mwembe Yanga na si kwenye Bunge Tukufu!
 
"To name and shame is to "publicly say that a person, group or business has done something wrong".[1] <http://en.wikipedia.org/wiki/Name_and_shame#cite_note-0>  It is used to discourage some kinds of activity (including anti-social <http://en.wikipedia.org/wiki/Anti-social_behaviour>  or criminal <http://en.wikipedia.org/wiki/Criminal> ) by publishing the names of those involved" - http://en.wikipedia.org/wiki/Name_and_shame







From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com <mailto:denis.matanda@gmail.com> >
To: wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, August 20, 2012 9:35 AM
Subject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge



Tony
Kwa unyenyekevu wa kipekee please naomba umjibu chambi.  Sisi wengine tunaufuatilia sana mjadala huu tupate kujifunza. Please man!
On 20 Aug 2012 16:10, "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk <mailto:tony_uk45@yahoo.co.uk> > wrote:

Chambi,

Sina comment kwavile hauna courtesy kwangu na tulishakubaliana kutoendelea na ubishi na wewe kuhusu bon-fide!



Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania.
----------------

From: Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com <mailto:chambi78@yahoo.com> >
Sender: wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com>
Date: Mon, 20 Aug 2012 06:02:39 -0700 (PDT)
To: wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com> <wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com> >
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge



Kudhani/Kuamini kuwa eti 'liberal democracy'/'parliamentary democracy' ya Tanzania itafuata tu njia ile ile ambayo  Uingereza, Marekani na nchi zingine za Magharibi/Kaskazini zinafuata ni ndoto ya alinacha. Hebu turejee mfano wa jinsi suala la rada  lilivyojadiliwa katika Bunge la Uingereza na la Tanzania. Kwa tafsiri ya mwanazuoni mahiri wa Mfumo Dola wa Tanzania, Tony D, hata Claire Short aliyeiwekea ngumu rada isiuzwe Tanzania katika mjadala wa Bunge la Uingereza atakuwa ni mwanaharakati aliyekengeuka kwa kutozingatia kile ambacho Tony Bin D anasisitiza hakitakiwi kufanyika Bungeni eti kwa mujibu wa nadharia za Udola!


Tanzania ya sasa inapitia katika kipindi kigumu ambacho uwanaharakati bungeni ni muhimu ili kuondoa uozo. Ni uwanaharakati uliozaa sakata la Buzwagi lililong'oa mafisadi waliokuwa katika mhimili mmoja wa dola. Pia ni uwanaharakati uliozaa sahihi 70 zilizong'oa mafisadi wengine katika mhimili huo wa dola. Sasa ni wakati kwa uwanaharakati kuwaondoa mafisadi katika huo mhimili mwingine wa dola ambao unapaswa kuhakikisha kuwa haki inatendeka na kuonekana kuwa inatendeka. Mwanafikra wa Mfumo wa Dola, Tony , atakuwa amemsoma pia Antonio Gramsci aliyesisitiza kuwa jamii ina wanazuoni wa aina kuu mbili - waliojikita katika jamii (organic intellectuals) na waliokumbatia mfumo uliopo (traditional intellectuals). Labda Gramsci naye amepitwa na wakati kwa kuwa tu alikuwa na itikadi ya mrengo wa kushoto kwa Tony!
 



From: Tony <tony_uk45@yahoo.co.uk <mailto:tony_uk45@yahoo.co.uk> >
To: "wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com> " <wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com> >
Sent: Monday, August 20, 2012 4:57 AM
Subject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge





Mhe. Lisu,


You may also read a book, which gives more on parliamentary culture in contemporary political philosophy: Carl Schmit is the theorist whose doctrine in political thought and critique of liberalism ideals sheds light on theories of modern politics, The book "Crisis of Parliamentary Democracy" first published in 1923 with a revision in 1926 has remain unchallenged in the field since Hobbes theories of mediaeval Britain. 


Tunasaidiana kupanuana uelewa tu...





From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk <mailto:tony_uk45@yahoo.co.uk> >
To: wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, 20 August 2012, 11:19
Subject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge



TL,

Sijui uelewa wangu na wako kwenye hili kama wazidiana kiasi gani, wewe mwanasheria inawezekana unao utaalamu huu (!) wa kuweza kubashiri uelewa jadidi wa binadamu mwenzio katika kipindi kifupi!

Kwanza maandiko ya Rosa na Lennin nimeyasoma na yamepata critique za kila aina na wanataaluma wengi na mahiri hapa duniani. Na they're no longer upheld na kubeba umahiri (authority) wa siasa za kimamboleo!

Lakini itikadi yako ambayo naiona toka matendo na hotuba zako, imelalia kuhusudu ujamaa wa akina Marx na waliofuata itikadi hiyo (Wachina na Wakyuba), sioni ajabu unapokumbatia maandiko hayo kwenye karne ya leo. Ukumbuke theory zao zilidumu miaka 70 tu na zimebadilishwa sana hata waliozishikilia hadi leo.

Activism haitumiki ndani ya mabunge bali inatumika kwenye "deliberative democracies practices" mara nyingi activism, social justice movements, structural inequalities na deliberative democracy hutumiwa vizuri na institutions za kisiasa nje ya Bunge. Bunge ni structured state organ na ni taasisi inayofuata prescribed procedures, rules na kuongozwa na katiba. Tofauti na activism ya jambo lolote huwa haielekei hata siku moja kufuata utaratibu ingawa kinadharia, wanashikilia kufanya kuwa na taratibu katika kudai wanachokitaka!

Katika karne hii baada ya liberal democracies kuingia kwa kasi tumeshuhudia uanaharakati kuingia kwenye bunge; mfano vyama vya kijani (green parties), ambao ni wanaharakati wa mazingira. Hata hao waliingia bungeni na hawajafaulu sana na walikuwa na lengo maalum.

Staili ya activism hii kwenye democracy mara nyingi tangu mwanzo wa karne hii tunaishuhudia kwenye vyombo vya habari (democratic media activism), ambayo inakubalika na jamii kwavile ni kati ya "social movement theories" za akina Melucci, Cohen+Arato, Habermas, na Fraser.

Uanaharakati kama tunaouona hapa Tz na ambao umekuwepo nchi nyingine (na sio kwenye mabunge), ambao wewe unatuaminisha ni sawa na wakudai haki na utawala bora, mara nyingi hufadhiliwa na vikundi kutoka nje ya nchi husika na huwa si endelevu kwavile baada ya kubadilisha utawala uliopo kwenye nchi husika, huishia hapo na makundi mengine ya kianaharakati huibuka kupinga status-quo! Ufadhili huo hufanywa na vikundi vyenye maslahi ya kiuchumi au with strategic interest kwa taifa husika!

Kulingana na historia, uanaharakati wa aina hii unatumika nje ya taasisi za kidola kama pressure groups ukisaidiwa sana na tasnia za habari.

Unaweza kusoma tofauti hizi kwenye kitabu cha Fishkin & Laslett cha 2008.

Swali dogo la kujiuliza ni kwanini theories za akina Lennin leo hazitawali tena dunia na zimebaki rejea za wanafunzi wa political history na uchumi wa kijamii? Hazina mshiko ena kwenye neo-political philosophy na hata uchumi jamii mamboleo.

Tunachangia hapa kupanuana uelewa tu na sio kudhalilishana au kubezana kama mwelekeo ninaouona kushamiri kwako. Utusamehe bure kama tunakuudhi Mheshimiwa.

Jambo ambalo nalishangaa kidogo kwenye hoja yako hapa ni uwezo gani ulio nao wa kudhani mtu anayekupinga kuwa na uelewa mdogo kuhusu jambo unaloelezea? Unajuaje uelewa wako ni wa juu kuliko wengine (authoritative)? Hiyo nayo ni dosari, kama mwanasiasa inabidi uibadilishe, ni sawa kama ungekuwa upo mahakamani ili kushinda kesi.
Ni tafakuri yangu tu!


Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania.
----------------

From: Tundu Lissu <lissubulali@yahoo.com <mailto:lissubulali@yahoo.com> >
Sender: wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sun, 19 Aug 2012 23:57:49 -0700 (PDT)
To: <wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com> >
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge



Tony,

Nilichokisema bungeni kinaitwa na Kanuni za Kudumu za Bunge 'Maoni ya Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.' Kwa sababu hiyo, hayo ni maoni yangu. Lakini kwa kuwa yametolewa in my official capacity kama Msemaji wa Kambi, ni maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni. Tumejenga utamaduni mzuri katika Kambi yetu ambapo Maoni ya Msemaji wa Kambi hujadiliwa kwanza kabla ya kuwasilishwa Bungeni. Of course, kama Msemaji wa Kambi amefanya kazi yake sawa sawa, what's eventually presented in Parliament will bear a very strong imprint, if not style, of the author. Mimi huandika hotuba zangu mwenyewe, nafanya research mwenyewe na kwa hiyo whatever you see p=

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment