Monday 27 August 2012

Re: [wanabidii] UBORESHAJI WA DODOSO LA SENSA

Yaani wewe huko mbali kweli wenzio hivyo vyote kwetu siyo muhimu
kilicho muhimu kwetu ni kitu kimoja tu- kipengele cha wewe ni mfuasi
wa dini gani? Huo ndo utakuwa mwanzo mzuri wa kupanga maendeleo yote,
na wala hatusubiri sensa ijayo bali ni hii hii ya juma hili.

2012/8/27 john mahaba <mahabajo@yahoo.com>:
> Kwanza niseme ya kuwa mie mwenzenu nilihesabiwa jana
> majira ya saa sita mchana. na karani ambaye hakuwa na kitambulisho wala
> t-shirt
> ya kumtambulisha kama ilivyokuwa inatangazwa na vyombo mbali mbali vya
> habari.
> Ndg zangu wanabidii ili kuboresha dodoso la sensa kwa miaka ijayo binafsi
> nilikuwa napendekeza takwimu zifuatazo ziongezwe
> 1. umbali kati ya makazi hadi chanzo cha maji
> 2. umbali kati ya makazi na huduma za afya
> 3.Wastani wa Kipato cha mkuu wa kaya kwa mwaka
> 4. Umbali kati ya makazi na shule
>
> kwangu mimi hizi ni baadhi ya nyanja ambazo kama tunaongelea
> mipango ya maendeleo ni lazima tuelezee vigezo vinavyohusiana
> na maji, afya, kipato na shule tofauti na hivyo lengo la sensa
> litakuwa tofauti na takwimu zinazokusanywa
>
> nawasilisha
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment