Monday 20 August 2012

Re: [wanabidii] TIGO MXSHARE NI UTAPELI TUWE MAKINI

Moderator mshughulikie aliyeleta habari hii akupe chanzo chenye uhakika nimewauliza watu wa tigo @tigo_tz wanasema hawana hiyo huduma "hao ni matapeli wanao taka kuibia watu"
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

-----Original Message-----
From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 20 Aug 2012 03:16:38
To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] TIGO MXSHARE NI UTAPELI TUWE MAKINI

"TIGO MXSHARE PIGA SIMU BURE KWENDA MITANDAO YOTE BILA MALIPO:

Hi, kwa wale wote wanao ulizia huduma ya tigo mxshare. Technician bado
anaendelea kuunganisha huduma ya Mxshare kwa bei nafuu Tshs.3500,
ukiunganishiwa unakua na uwezo wa kupiga simu bure kwenda mitandao
yote Tanzania bila malipo ya vocha na ukishaunganishiwa huduma haina
kikomo na ukishalipia 3500 ukaunganishiwa hautolipia tena pesa na
hautohtaj kuunganshwa tena huduma ni yamoja kwa moja.

KAMA UNAHITAJI TAFADHALI NITUMIE NAMBA YAKO YA SIMU INBOX SASA HIVI
ILI NIMPATIE TECHNICIAN WA TIGO AIUNGANISHE KATIKA SYSTEM KISHA
UTALIPIA Tshs.3500 ILI TUKUPE PIN NUMBER YAKUJIUNGA.

KUMBUKA: Hatuhitaj mtu awe na hofu na kuhisi anatapeliwa maana mjini
hapa na sio wote mnao amini, ila tuna uhakika na huduma hii na wengi
tumewaunganishia. HATUCHUKUI PESA KWANZA MPAKA UTUPE NAMBA YAKO
IUNGANISHWE KTK SYSTEM KISHA UTAHAKIKISHA JE, NIKWELI KUNA HUDUMA
IITWAYO MXSHARE? KISHA NDIO UTALIPIA TUKUPE NAMBA YA SIRI YAKUJIUNGA."

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment