Thursday 23 August 2012

Re: [wanabidii] Re:DK. MWAKYEMBE AFAGIA BANDARINI

Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harisson Mwakyembe amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari-TPA-Ndugu Ephrahim Mgawe pamoja na wasaidizi wake wawili ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili.

Wengine waliosimamishwa ni Meneja wa Mafuta ya Ndege Kurasini, Meneja wa JET na Meneja wa Oil Terminal kutokana na tuhuma za kupotea kwa mafuta na kuidanganya serikali kuhusu mafuta masafi na machafu.

Kutokana na kuwasimamisha kazi Wakurugenzi hao Dkt. Harisson Mwakyembe amemteua Injinia Madeni Kipange kukaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa TPA.

Kufuatia tuhuma hizo zinazofanywa Bandarini Dkt. Mwakyembe ameunda Tume wa ya watu saba kufanya uchunguzi kwa wiki mbili na kumpelekea taarifa ofisini kwake ili kubaini ukweli wa tuhuma hizo zikiwemo za wizi.

Pia ameagiaza kufikia Septemba Mosi mwaka huu malipo yote yafanyike benki ili kuondoa rushwa na wizi unaofanyika ndani ya Mamlaka hiyo.

Waziri Mwakyembe anachukua hatua hizo kutokana na wwadao wengi sasa hawaitumii Bandari ya Dar es salaam kupitisha mizigo yao kutokana na kutokuwa na inami na watumishi wake hatua inayoifanya serikali kukosa mapato.

Pia ameagiza kusimamishwa mara moja kwa Kampuni ya Singilimo ambayo inajihusisha na kazi ya kubeba mafuta machafu na badala yake itafutwe Kampuni nyingine.

2012/8/23 heche suguta <hechesuguta29@yahoo.com>
Ile bandari ina mambo meengi ya Kienyeji, yaani haiwezekani nchi hii inageuka kuwa ya kitapeli tapeli tuu...pale bandari ukileta mzigo wako hutapokea wote lazima uibiwe ama ukute wamekuwekea vitu visivyo vyako!!! nilikua natarajia huyu Mgawe atimliwe mda mrefu kama kweli tungekua na watu Kama mwakyembe nchi hii ingenyooka sana..

From: Henry John <mwakigali@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, August 23, 2012 8:40 AM

Subject: Re: [wanabidii] Re:DK. MWAKYEMBE AFAGIA BANDARINI

Wanaoonesha utendaji wa kizalendo tuwatie moyo kuliko kuwavunja moyo kuwa eti labda ni mbio za kueleke 2015, hata km ni hivyo sawa maadam anatenda kile tunachoona kinafaa kwa maslahi ya Taifa.Wachukue maamuzi magumu kama hayo ili kuliokoa Taifa na madudu yaliyojaa kila kona ya Tanzania hii

With regards Mwakigali John

--- On Thu, 23/8/12, F kitigwa <kitigwa@gmail.com> wrote:

> From: F kitigwa <kitigwa@gmail.com>
> Subject: Re: [wanabidii] Re:DK. MWAKYEMBE AFAGIA BANDARINI
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Thursday, 23 August, 2012, 18:21
> Anajitahidi sana atiwe moyo.
> Ila isije kuwa ni maandalizi ya uchaguzi wa 2015, tutaona
> sinema nyingi sana safari hii.
>
> 2012/8/23 LILIAN
> TIMBUKA <lilytimbuka@yahoo.com>
>
>
> Habari zenu na hongereni kwa kazi.
>
> Kali ya mchana wa leo, Dk. Mwakyembe atimua mabosi wa
> Bandari, Yumo Mgawe na Manaibu wake wawili, Meneja wa
> Bandari ya Dar es Salaam na Watendaji wakuu wote wa Gati ya
> Mafuta ya Kurasini, pia ameunda tume ya watu saba kuchunguza
> mkataba wa TICS.
>
>
>
>
> --
>
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>  
>
>  
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
>  
>
>  
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment