Friday 24 August 2012

Re: [wanabidii] RE: Yaliyonipata Usiku wa Kuamkia Tarehe 21 August 2012

Pole kaka...

On Aug 23, 2012 6:17 PM, "Henry Oppi" <henryoppi@gmail.com> wrote:
Ndugu  wanabidii wenzangu.

Napenda kuchukua nafasi hii kuwashirikisha na kuwaeleza kwa kifupi
kile kilichonipata tarehe 20 August 2012 mnamo saa 1955Hrs.
Katika siku hiyo na muda nilioutaja nikiwa nyumbani kwangu na familia
yangu nimekaa tukiwa tunangojea kuangalia taarifa ya habari ya saa
mbili usiku gafla watu wawili wakaingia ndani wakiwa na bastola na
kuniteka mimi pamoja na familia yangu mbele ya watoto wangu na
kuniamuru pamoja na famili yangu kulala chini na kisha kunitaka niwape
hela, na kwa vile nilikuwa nimetekwa sikuwa na namna ya kufanya  zaidi
ya kutekeleza kile walichotaka nikifanye, wakafanikiwa kuchukua fedha
taslimu laki tano  na elfu thelethini na nane na wakachukua simu yangu
aina ya Nokia C2-03 ya kuslaidi ikiwa na line zangu mbili ambazo ni
+255754410075 na +255682155734 na pia wakachukua simu ya mke wangu
nokia N1280 ikiwa na laini +255752047597 na kuondoka, nimshukuru mungu
kwa vile waliniachia uhai pamoja na familia yangu.
Nipende kuchukua nafasi hii kumshukuru OCS wa kituo cha police
Bugarama- Kahama Shinyanga kwa kuwahi katika tukio hili na kutoa
msaada mkubwa kwa familia yangu akiwa na askari wake, sina cha kumlipa
bali Mungu atamlipa kwa uwajibikaji wake  mzuri na wakizalendo kwa
familia yangu.

Pia nipende kuwajulisha marafiki zangu kuwa hizo namba za simu tajwa
hapo haziko hewani tena mpaka hapo nitakapofanikiwa kuzilejesha tena
hewani baada ya uchunguzi wa tukio hili kukamilika.

Wenu
Mhanga
Oppi

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment