Thursday 23 August 2012

Re: [wanabidii] RE: Yaliyonipata Usiku wa Kuamkia Tarehe 21 August 2012

Duh pole sana oppi. Matukio haya nadhani ni kutokana na ugumu wa maisha. Nasema hv bse hata mie ile siku ya idd walinikomba kweli kweli. Ilikuwa hv, kwakua mama alijifungu one wk b4 idd ile siku ya idd 2lila tukaacha taa za chumbani on tukazima za nje, vibaka wakanitaim wakakata dirisha la chumban wakaiba simu yangu blackberry curve, pesa taslim tsh lak moja , passport, vitambulisho, jamaa wakabeba khanga na nguo kibao za mtoto mchanga, infact ziliwekwa juu c kabatini, wakaondoka, mimi nimewasamehe hao wezi na kumw6mba mungu anipe zaidi ya vile. Ila niliognpa baadae nilipogundua nikajisemea kua economic hardship ndo inalete yote haya bw.
------------------------------
On Thu, Aug 23, 2012 11:21 AM EDT Simon Mkina wrote:

>Pole sana Oppi,
>Heri uhai, mikono, macho na miguu vimebaki, mengine yoote yatapatikana tena.
>Pole sana na Mungu atakujaalia zaidi na zaidi huku akiwapa pigo
>waliokutenda mabaya.
>Simon
>
>2012/8/23 Henry Oppi <henryoppi@gmail.com>
>
>> Ndugu wanabidii wenzangu.
>>
>> Napenda kuchukua nafasi hii kuwashirikisha na kuwaeleza kwa kifupi
>> kile kilichonipata tarehe 20 August 2012 mnamo saa 1955Hrs.
>> Katika siku hiyo na muda nilioutaja nikiwa nyumbani kwangu na familia
>> yangu nimekaa tukiwa tunangojea kuangalia taarifa ya habari ya saa
>> mbili usiku gafla watu wawili wakaingia ndani wakiwa na bastola na
>> kuniteka mimi pamoja na familia yangu mbele ya watoto wangu na
>> kuniamuru pamoja na famili yangu kulala chini na kisha kunitaka niwape
>> hela, na kwa vile nilikuwa nimetekwa sikuwa na namna ya kufanya zaidi
>> ya kutekeleza kile walichotaka nikifanye, wakafanikiwa kuchukua fedha
>> taslimu laki tano na elfu thelethini na nane na wakachukua simu yangu
>> aina ya Nokia C2-03 ya kuslaidi ikiwa na line zangu mbili ambazo ni
>> +255754410075 na +255682155734 na pia wakachukua simu ya mke wangu
>> nokia N1280 ikiwa na laini +255752047597 na kuondoka, nimshukuru mungu
>> kwa vile waliniachia uhai pamoja na familia yangu.
>> Nipende kuchukua nafasi hii kumshukuru OCS wa kituo cha police
>> Bugarama- Kahama Shinyanga kwa kuwahi katika tukio hili na kutoa
>> msaada mkubwa kwa familia yangu akiwa na askari wake, sina cha kumlipa
>> bali Mungu atamlipa kwa uwajibikaji wake mzuri na wakizalendo kwa
>> familia yangu.
>>
>> Pia nipende kuwajulisha marafiki zangu kuwa hizo namba za simu tajwa
>> hapo haziko hewani tena mpaka hapo nitakapofanikiwa kuzilejesha tena
>> hewani baada ya uchunguzi wa tukio hili kukamilika.
>>
>> Wenu
>> Mhanga
>> Oppi
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
>
>--
>*Simon Martha Mkina
>Executive Chairman & Founder
>Tanzania Journalists Alliance (Tajoa)
>Author/Columnist/Editor/Publisher
>Tanzania*
>
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment