Monday 27 August 2012

Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] SENSA YA MAKAZI NA WATU 2012 : NIMEHESABIWA WEWE JE ?

Pamoja na kwamba zoezi lenyewe limekumbwa na dosari kadhaa lakini kwa
upande wangu pia nimehisabaiwa na kuwajibu maswali yao vilivyo. Kuna
maswali nilimuuliza karani wa sensa kama vile ilikuwaje musitwambie
kabla ni data gani muhimu kuwa nazo ili tuziandae? Akanijibu wametoa
matangazo mengi tu kwenye magazeti, redio na Tv mara nyingi tu.
Nikagundua kumbe ni mimi niliyekuwa mazembe kusoma Tangazo hilo hadi
mwisho, maana ata leo nimelisoma kwa ufasaha nikagundua kila kitu
kimeelezwa. Tafadhali kama hujahisabiwa yasome/yasikilize/
kuayaangalia matangazo yao utatumia muda mfupi sana kuwaambia
wanachohitaji.

Nimesoma kwenye magazeti kwamba baadhi ya waislamu wamegoma kuhisabiwa
kama walivyokuwa wamehaidi. Nina wasiwasi hisabu zitakazotolewa
zitakuwa siyo sahihi. Nawashauri wanaogoma wakubali kuhisabiwa ili
nchi iweze kupanga mipango yake vizuri kwa ajiri ya kutoa huduma na
mambo yote ya kimaendeleo. waachane na siasa katika mambo ya msingi
kama ya sensa, Mwenyezi Mungu katuumba tukiwa na akili timamu na
kutofautisha zuri na baya na kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake
hapa duniani. Wanaoshawishi watu wasihisabiwe lazima wana lengo
jingine na ata wakigoma lengo lao halitatimia lazima ni vyema
kuliangalia jambo hilo kwa makini. Sababu zinazotolewa hazina nguvu
bali wanazo agenda nyingine.
Ebu jiulize ni kwa nini watake takwimu hizo kwa nguvu kiasi hicho?
Nawashauri kufungua website yao na kutawanya mtandao huo misikiti yote
Tanzania ili wajue wako wangapi japo sielewi baada ya kulijua hilo ni
nini zaidi wataitaka serikali iwafanyie. Pengine watapenda ata viti
vya kisiasa na nafasi za kazi serikalini zitolewe kwa uwiano wa dini
au pia watapenda nchi itawaliwe kwa sharia kama itaonekana wao kuwa
wengi zaidi ya hizo dini nyingine. Nayo ni maoni tunatakiwa
kuyaheshimu na pia ni vyema wakayawakilisha kwenye tume ya kurekebisha
katiba yafanyiwe kazi badala ya kuzungukazunguka na mambo ya sensa

On 8/27/12, Lutgard Kagaruki <lutgardk@yahoo.com> wrote:
> Reuben, they also say that "Common sense is not very common" May be that's
> why "our friends" seem to be so confused!!! LKK
>
>
>
>
>
>
> ________________________________
> From: Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Monday, August 27, 2012 9:49 AM
> Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] SENSA YA MAKAZI NA WATU 2012 :
> NIMEHESABIWA WEWE JE ?
>
>
> Comrades;
> Sababu za kugoma kuhesabiwa ni dhaifu sana.
> Binafsi wakati huu nimeweza kujua udhaifu wa hawa jamaa na Viongozi wao.
> Dini ileile lakini mitazamo ni mingiii na inatofautiana sana,inakuwaje?
>     1.Wengine wanasema MSW hakuwahi kuhesabiwa hivyo ni dhambi kuhesabiwa
> lakini sensa zilizopita walihesabiwa (maana yake Dini imeanza baada ya
> 2002??)
>     2.Wengine sababu ni kwamba kwanini swali/maswali ya kuulizana
> dini     hayapo katika dodoso(Ili waweze kujua nani yupo mwingi,kitu ambacho
> ni ushindaji nauita wa kitoto mana scientifically you can prove that
> prularism leads to development zaidi zaidi inaweza kukusaidia kuanzisha fujo
> tu)
>     3.Wengine Uislamu Bora ni kutii Mamlaka,hivyo hakuna budi kuhesabiwa.
>     4.Wengine wapo neutral n.k.
>     5. Mambo mengiiii!! ambayo yanaonyesha uchache wa busara na ubinafsi
> tu.
> Tuambieni ndugu zetu hatuwaelewi.
> Kama nimewauzi na hasa wahusika wa mgomo natanguliza kuomba radhi but COMMON
> SENSE REMAINS TO BE COMMON
>
> Reuben
>
> From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>Sent: Sunday, August 26, 2012 9:45 PM
>>Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] SENSA YA MAKAZI NA WATU 2012 :
>> NIMEHESABIWA WEWE JE ?
>>
>>
>>Amour,
>>
>>Kama hujahesabiwa kwa kukataa, itakuwa kazi maana jamaa wamepata maelekezo
>> ya kuandika wote wanaokataa kuhesabiwa kwa sababu zileee! Baada ya siku
>> saba kupita, inabidi tuanze kujitayarisha kuweka dhamana, maana tayari
>> utakuwa umetenda jinai!
>>
>>Nitakuja kukuwekea dhamana rafiki yangu! Labda uende majuu! Daaah!
>>Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network,
>> Tanzania.
>>From: amour chamani <abachamani@yahoo.com>
>>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>Date: Sun, 26 Aug 2012 11:26:00 -0700 (PDT)
>>To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
>>ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>>Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] SENSA YA MAKAZI NA WATU 2012 :
>> NIMEHESABIWA WEWE JE ?
>>
>>
>>mimi sijahesabiwa.
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>Walewale.
>>
>>
>>From: Salim Khatri <skhatri@orcis.com>
>>To: Wanazuoni@yahoogroups.com
>>Cc: wanabidii@googlegroups.com
>>Sent: Sunday, August 26, 2012 11:05 AM
>>Subject: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] SENSA YA MAKAZI NA WATU 2012 :
>> NIMEHESABIWA WEWE JE ?
>>
>>
>>Faida gani kutumia mabillioni halafu hutaki baadhi ya data... Sawa na uende
>> kwa daktari utake akuambie tu kama ni malaria, kipindupindu ama kifafa
>> lakini asukuambie kama ni Ukimwi ama Gono... Eti ikijulikana kama Ukimwi
>> ama Gono litatia aibu na hata kuleta mfarakano kwenye familia. Kwa hiyo
>> dawa ni kutokujua kabisa hayo maradhi mengine....
>>
>>
>>
>>On Aug 26, 2012 10:54 AM, "Yona Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:
>>
>>
>>>
>>>Ndugu zangu
>>>
>>>Zoezi la Sensa ya Makazi na watu 2012 linaendelea nchi Nzima , Mimi mkazi
>>> wa Ubungo nimeshahesabiwa na zoezi lenyewe lilikuwa salama na la amani
>>> kabisa kwa maana maswali yanayoulizwa ni ya kawaida tena unamwona
>>> anavyojaza au kuweka alama hakuna kinachofichwa na kila kaya ina karatasi
>>> lake la kujaziwa .
>>>
>>>Sijaulizwa Dini yangu wala kabila langu .
>>>
>>>Wengine tujitokeze kwa wingi zaidi kuhesabiwa na kutoa taarifa zetu za
>>> ukweli .
>>>
>>>__._,_.___
>>>Reply to sender | Reply to group | Reply via web post | Start a New Topic
>>> Messages in this topic (1)
>>>Recent Activity: * New Members 2
>>>Visit Your Group
>>>
>>>Switch to: Text-Only, Daily Digest • Unsubscribe • Terms of Use
>>>.
>>>
>>>__,_._,___
> --
>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

>>--

> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment