Sunday 26 August 2012

Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] SENSA YA MAKAZI NA WATU 2012 : NIMEHESABIWA WEWE JE ?

Kazi yake ni kubwa kawaulize madaktari na baadhi ya vyuo kama kile cha kodi Mikocheni.Lakini idadi ya misikiti na makanisa inatafuta nini kwenye hiyo sensa na je hali ya ndoa kwani serikali inataka kutoa wachumba.


Walewale


From: weston mbuba <matutetz@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, August 26, 2012 11:15 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] SENSA YA MAKAZI NA WATU 2012 : NIMEHESABIWA WEWE JE ?


Kama kuambiwa una ukimwi kutapandisha presha yako ya nini kujidhiki. Ufe bure bilashi. Nambie dini na kabila vyahusikaje ktk mipango ya serikali? ------------------------------ On Sun, Aug 26, 2012 01:05 PDT Salim Khatri wrote:  >Faida gani kutumia mabillioni halafu hutaki baadhi ya data... Sawa na uende >kwa daktari utake akuambie tu kama ni malaria, kipindupindu ama kifafa >lakini asukuambie kama ni Ukimwi ama Gono... Eti ikijulikana kama Ukimwi >ama Gono litatia aibu na hata kuleta mfarakano kwenye familia. Kwa hiyo >dawa ni kutokujua kabisa hayo maradhi mengine.... > > >On Aug 26, 2012 10:54 AM, "Yona Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote: > >> ** >> >> >> Ndugu zangu >> >> Zoezi la Sensa ya Makazi na watu 2012 linaendelea nchi Nzima , Mimi mkazi >> wa Ubungo nimeshahesabiwa na zoezi lenyewe lilikuwa salama na la amani >> kabisa kwa maana maswali yanayoulizwa ni ya kawaida tena unamwona >> anavyojaza au kuweka alama hakuna kinachofichwa na kila kaya ina
karatasi >> lake la kujaziwa . >> >> Sijaulizwa Dini yangu wala kabila langu . >> >> Wengine tujitokeze kwa wingi zaidi kuhesabiwa na kutoa taarifa zetu za >> ukweli . >> __._,_.___ >> Reply to sender<oldmoshi@gmail.com?subject=Re%3A%20SENSA%20YA%20MAKAZI%20NA%20WATU%202012%20%3A%20NIMEHESABIWA%20WEWE%20JE%20%3F>| Reply >> to group<Wanazuoni@yahoogroups.com?subject=Re%3A%20SENSA%20YA%20MAKAZI%20NA%20WATU%202012%20%3A%20NIMEHESABIWA%20WEWE%20JE%20%3F>| Reply >> via web post<http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni/post;_ylc=X3oDMTJycXZla2tkBF9TAzk3MzU5NzE0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRtc2dJZAMxNjI5OQRzZWMDZnRyBHNsawNycGx5BHN0aW1lAzEzNDU5Njc2NTc-?act=reply&messageNum=16299>| Start >> a New Topic<http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni/post;_ylc=X3oDMTJmYTBpczFrBF9TAzk3MzU5NzE0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRzZWMDZnRyBHNsawNudHBjBHN0aW1lAzEzNDU5Njc2NTc-> >> Messages in this
topic<http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni/message/16299;_ylc=X3oDMTM3ZmcwaGJzBF9TAzk3MzU5NzE0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRtc2dJZAMxNjI5OQRzZWMDZnRyBHNsawN2dHBjBHN0aW1lAzEzNDU5Njc2NTcEdHBjSWQDMTYyOTk->( >> 1) >> Recent Activity: >> >> - New Members<http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni/members;_ylc=X3oDMTJnazI2aTlpBF9TAzk3MzU5NzE0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRzZWMDdnRsBHNsawN2bWJycwRzdGltZQMxMzQ1OTY3NjU3?o=6> >> 2 >> >> Visit Your Group<http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni;_ylc=X3oDMTJmZ2ozMG9hBF9TAzk3MzU5NzE0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRzZWMDdnRsBHNsawN2Z2hwBHN0aW1lAzEzNDU5Njc2NTc-> >> [image: Yahoo! Groups]<http://groups.yahoo.com/;_ylc=X3oDMTJlbDgwNjZvBF9TAzk3NDc2NTkwBGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRzZWMDZnRyBHNsawNnZnAEc3RpbWUDMTM0NTk2NzY1Nw--> >> Switch to: Text-Only<Wanazuoni-traditional@yahoogroups.com?subject=Change+Delivery+Format:+Traditional>, >> Daily
Digest<Wanazuoni-digest@yahoogroups.com?subject=Email+Delivery:+Digest>• >> Unsubscribe <Wanazuoni-unsubscribe@yahoogroups.com?subject=Unsubscribe> • Terms >> of Use <http://docs.yahoo.com/info/terms/> >> . >> >> __,_._,___ >> > >--  >Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com >Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com >Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com > >Kujiondoa Tuma Email kwenda  >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma > >Disclaimer: >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. > >

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




0 comments:

Post a Comment