Sunday 26 August 2012

Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] SENSA YA MAKAZI NA WATU 2012 : NIMEHESABIWA WEWE JE ?

Comrades;
Sababu za kugoma kuhesabiwa ni dhaifu sana.
Binafsi wakati huu nimeweza kujua udhaifu wa hawa jamaa na Viongozi wao.
Dini ileile lakini mitazamo ni mingiii na inatofautiana sana,inakuwaje?
    1.Wengine wanasema MSW hakuwahi kuhesabiwa hivyo ni dhambi kuhesabiwa lakini sensa zilizopita walihesabiwa (maana yake Dini imeanza baada ya 2002??)
    2.Wengine sababu ni kwamba kwanini swali/maswali ya kuulizana dini     hayapo katika dodoso(Ili waweze kujua nani yupo mwingi,kitu ambacho ni ushindaji nauita wa kitoto mana scientifically you can prove that prularism leads to development zaidi zaidi inaweza kukusaidia kuanzisha fujo tu)
    3.Wengine Uislamu Bora ni kutii Mamlaka,hivyo hakuna budi kuhesabiwa.
    4.Wengine wapo neutral n.k.
    5. Mambo mengiiii!! ambayo yanaonyesha uchache wa busara na ubinafsi tu.
Tuambieni ndugu zetu hatuwaelewi.
Kama nimewauzi na hasa wahusika wa mgomo natanguliza kuomba radhi but COMMON SENSE REMAINS TO BE COMMON
 
Reuben
From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, August 26, 2012 9:45 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] SENSA YA MAKAZI NA WATU 2012 : NIMEHESABIWA WEWE JE ?

Amour,

Kama hujahesabiwa kwa kukataa, itakuwa kazi maana jamaa wamepata maelekezo ya kuandika wote wanaokataa kuhesabiwa kwa sababu zileee! Baada ya siku saba kupita, inabidi tuanze kujitayarisha kuweka dhamana, maana tayari utakuwa umetenda jinai!

Nitakuja kukuwekea dhamana rafiki yangu! Labda uende majuu! Daaah!
Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania.
From: amour chamani <abachamani@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 26 Aug 2012 11:26:00 -0700 (PDT)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] SENSA YA MAKAZI NA WATU 2012 : NIMEHESABIWA WEWE JE ?

mimi sijahesabiwa.

Walewale.

From: Salim Khatri <skhatri@orcis.com>
To: Wanazuoni@yahoogroups.com
Cc: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, August 26, 2012 11:05 AM
Subject: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] SENSA YA MAKAZI NA WATU 2012 : NIMEHESABIWA WEWE JE ?

Faida gani kutumia mabillioni halafu hutaki baadhi ya data... Sawa na uende kwa daktari utake akuambie tu kama ni malaria, kipindupindu ama kifafa lakini asukuambie kama ni Ukimwi ama Gono... Eti ikijulikana kama Ukimwi ama Gono litatia aibu na hata kuleta mfarakano kwenye familia. Kwa hiyo dawa ni kutokujua kabisa hayo maradhi mengine....

On Aug 26, 2012 10:54 AM, "Yona Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:
 
Ndugu zangu

Zoezi la Sensa ya Makazi na watu 2012 linaendelea nchi Nzima , Mimi mkazi wa Ubungo nimeshahesabiwa na zoezi lenyewe lilikuwa salama na la amani kabisa kwa maana maswali yanayoulizwa ni ya kawaida tena unamwona anavyojaza au kuweka alama hakuna kinachofichwa na kila kaya ina karatasi lake la kujaziwa .

Sijaulizwa Dini yangu wala kabila langu .

Wengine tujitokeze kwa wingi zaidi kuhesabiwa na kutoa taarifa zetu za ukweli .
__._,_.___
Recent Activity:
.

__,_._,___
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment