Sunday 26 August 2012

Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] SENSA YA MAKAZI NA WATU 2012 : NIMEHESABIWA WEWE JE ?

mimi sijahesabiwa.



Walewale.


From: Salim Khatri <skhatri@orcis.com>
To: Wanazuoni@yahoogroups.com
Cc: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, August 26, 2012 11:05 AM
Subject: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] SENSA YA MAKAZI NA WATU 2012 : NIMEHESABIWA WEWE JE ?

Faida gani kutumia mabillioni halafu hutaki baadhi ya data... Sawa na uende kwa daktari utake akuambie tu kama ni malaria, kipindupindu ama kifafa lakini asukuambie kama ni Ukimwi ama Gono... Eti ikijulikana kama Ukimwi ama Gono litatia aibu na hata kuleta mfarakano kwenye familia. Kwa hiyo dawa ni kutokujua kabisa hayo maradhi mengine....


On Aug 26, 2012 10:54 AM, "Yona Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:
 
Ndugu zangu

Zoezi la Sensa ya Makazi na watu 2012 linaendelea nchi Nzima , Mimi mkazi wa Ubungo nimeshahesabiwa na zoezi lenyewe lilikuwa salama na la amani kabisa kwa maana maswali yanayoulizwa ni ya kawaida tena unamwona anavyojaza au kuweka alama hakuna kinachofichwa na kila kaya ina karatasi lake la kujaziwa .

Sijaulizwa Dini yangu wala kabila langu .

Wengine tujitokeze kwa wingi zaidi kuhesabiwa na kutoa taarifa zetu za ukweli .
__._,_.___
Recent Activity:
.

__,_._,___
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


0 comments:

Post a Comment