Tuesday 14 August 2012

Re: [wanabidii] Re: Vifo vya wakenya 11 na majeruhi 40

Yona.
Kuporwa kwa majeruhi wa ajali hakuja anza kwa wakenya, hii tabia
imeota mizizi Tanzania na hata kenya pia ipo na si Kenya tu karibu
nchi nyingi za Afrika ikiwemo Ulaya ya Afrika (SA). Ni tabia mbaya
ambayo sio ya kiungwana hata kidogo.

Hoja ya kusema kuwa wamepelekwa kenya kwa kuwa waliibiwa ndio ambayo
sikubaliani nayo, ni sawa na kusema kina Mulundi ndio watekaji wa
watanzania.

Mgomo baridi wa madaktari unaweza kuwa ndio chanzo kikuu kuliko hata
wizi tunao upakazia.

On 8/14/12, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
> Ndugu Mtoi kuna wengine walipelekwa Hospitali ya Tumbi kwa ajili ya
> Matibabu zaidi na wengine wakapelekwa kenya , lakini matukio ya kuporwa
> vitu vyao na kutishiwa kwa majeruhi yametokea na ni aibu sana kwa barabara
> hiyo , kwa vyovyote vile kwa kutishwa tu wale wajeruhi walishakosa imani na
> huduma nyingine ambazo zingeweza kuwaaminisha kubaki nchini hata kama
> zilikuwa nzuri .
>
> 2012/8/14 Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
>
>> Dada Devoleth.
>>
>> Hoja hapa sio kwa sababu wanavijiji wamewaibia majeruhi ndio maana
>> wakaamua kuwakapelekwa Kenya kutibiwa!
>> Naamini imani ya wakenya baada ya ajali kutokea haikuwa kuwaacha
>> majeruhi wao kutibiwa Tanzania maana wanajua madaktari wako kwenye
>> mgomo baridi na kwa vyovyote huduma ingekuwa duni, tuko jumuiya moyo
>> ndio lakini wenzetu wameonyesha kujali raia wao zaidi kuliko kuingiza
>> siasa.
>>
>> Mantiki ya kuamua kwenda kutibiwa nje ni kwa sababu huduma unayoitaka
>> hutaipata au una mashaka na huduma yenyewe. Kuibiwa au kuporwa eneo la
>> ajali na kufanya kuwa ndio sababu ya wakenya kuchukua majeruhi wao
>> hiyo ni hoja dhaifu maana hata kipigo alichopata Dr Uliomboka matibabu
>> yake yalishindikana Tanzania.
>>
>> On 8/14/12, Devolent Mtui <deovolentem@gmail.com> wrote:
>> > Kazi kweli ipo. Elimu ya hela kwanza au uhai!
>> >
>> > 2012/8/13 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
>> >
>> >> Walipohitaji msaada wanavijiji walikuwa wanataka hela kwanza na
>> >> wengine walishaanza kuwaibia .
>> >>
>> >> On Aug 14, 12:22 am, Devolent Mtui <deovolen...@gmail.com> wrote:
>> >> > Wapendwa wanabidii,
>> >> >
>> >> > Nimesikitishwa sana na taarifa za ajali za ndugu zetu wakenya
>> >> > (kikundi
>> >> cha
>> >> > akina mama waliokuwa wanasafiri kwenda Dar kupitia Tanga).
>> Nimesikiliza
>> >> > taarifa iliyorushwa kwenye Yu-tube - (website Standard Digital News
>> >> > -
>> >>
>> http://www.standardmedia.co.ke/index.php?videoID=2000059604&video_tit...).
>> >> >
>> >> > Inaonyesha kuwa helikopta imetoka Kenya kuwapeleka majeruhi kutibiwa
>> >> Kenya.
>> >> > Ina maana kweli Tanzania tumeshindwa kutoa msaada wa kuwasaidia
>> >> > matibabu
>> >> au
>> >> > hawa majeruhi walikuwa critical kiasi ambacho madaktari wa Tanzania
>> >> > wameshindwa? Au hatukuwa tayari kutoa msaada kwa majeruhi? Au
>> nigharama
>> >> > kubwa sana za matibabu hapa nchini? au kwa vile Tanga ni karibu sana
>> na
>> >> > nairobi? Naomba nisaidiwe maana nilikuwa najiuliza haya maswali
>> >> > imekuwaje
>> >> > kama tuko kwa jumuia moja.
>> >> >
>> >> > Asanteni
>> >> > Devolent
>> >>
>> >> --
>> >> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> >> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> >> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> >>
>> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> >> ukishatuma
>> >>
>> >> Disclaimer:
>> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> >> legal
>> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> >> must
>> >> be
>> >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree
>> >> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >>
>> >>
>> >>
>> >
>> > --
>> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> > must
>> be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to
>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >
>> >
>> >
>>
>>
>> --
>> "Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". Regia
>> Mtema.
>> --
>> +255 (0) 713 (784) 24 67 64.
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>


--
"Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". Regia Mtema.
--
+255 (0) 713 (784) 24 67 64.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment