Wednesday 15 August 2012

Re: [wanabidii] Re: Vifo vya wakenya 11 na majeruhi 40

Wanabidii asanteni sana kwa majibu yenu. Kila jibu nimekuwa niitafakari linanipa kufikiri zaidi. Nafikiri kuwa mabadiliko ya tabia iliyojitokeza kwa yataletwa na uongozi bora wa kuanzia vijijini/mtaa/balozi wa nyumba 10. Ikiwa kila kiongozi husika wa ngazi hizi anafahamu watu wake, tusingekuwa na tabia ya uporaji, ajali kama hii ilivyotokea taarifa zingekuwa zimefika mapema mahali husika na huenda msaada hata kama sio wa kupewa gari, majeruhi wangesaidiwa kwa kiasi ambacho wanakijiji wangeweza toa na hata ndugu zetu wangeshukuru. Hakuna mtu angetegemea ambulance ipatikane kijijini, lakini japo maji ya kunywa (mfano) wangeweza patiwa kutoka kijijini (kama wangehitaji). Kazi ipo maana watanzania tumekuwa tunapewa sifa ya upendo lakini kwa hii tabia iliyojitokeza......
 
Jamani nawatakia kazi njema. 
Devolent
2012/8/14 Matthew Mdidi <matthew.mdidi@yahoo.com>
Ndugu yangu Mtui, kama Rais Mwai Kibaki angetusubiri Watanzania mpaka TUOMBE MWONGOZO WA SPIKA hata wale majeruhi nao wangekuwa marehemu!!! 

From: Devolent Mtui <deovolentem@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, August 14, 2012 12:50 PM

Subject: Re: [wanabidii] Re: Vifo vya wakenya 11 na majeruhi 40

Kazi kweli ipo. Elimu ya hela kwanza au uhai!

2012/8/13 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Walipohitaji msaada wanavijiji walikuwa wanataka hela kwanza na
wengine walishaanza kuwaibia .

On Aug 14, 12:22 am, Devolent Mtui <deovolen...@gmail.com> wrote:
> Wapendwa wanabidii,
>
> Nimesikitishwa sana na taarifa za ajali za ndugu zetu wakenya (kikundi cha
> akina mama waliokuwa wanasafiri kwenda Dar kupitia Tanga). Nimesikiliza
> taarifa iliyorushwa kwenye Yu-tube - (website  Standard Digital News -http://www.standardmedia.co.ke/index.php?videoID=2000059604&video_tit...).
>
> Inaonyesha kuwa helikopta imetoka Kenya kuwapeleka majeruhi kutibiwa Kenya.
> Ina maana kweli Tanzania tumeshindwa kutoa msaada wa kuwasaidia matibabu au
> hawa majeruhi walikuwa critical kiasi ambacho madaktari wa Tanzania
> wameshindwa? Au hatukuwa tayari kutoa msaada kwa majeruhi? Au nigharama
> kubwa sana za matibabu hapa nchini? au kwa vile Tanga ni karibu sana na
> nairobi? Naomba nisaidiwe maana nilikuwa najiuliza haya maswali imekuwaje
> kama tuko kwa jumuia moja.
>
> Asanteni
> Devolent

--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/

Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
0 comments:

Post a Comment