Tuesday 14 August 2012

Re: [wanabidii] Re: Vifo vya wakenya 11 na majeruhi 40

Dada Devoleth.

Hoja hapa sio kwa sababu wanavijiji wamewaibia majeruhi ndio maana
wakaamua kuwakapelekwa Kenya kutibiwa!
Naamini imani ya wakenya baada ya ajali kutokea haikuwa kuwaacha
majeruhi wao kutibiwa Tanzania maana wanajua madaktari wako kwenye
mgomo baridi na kwa vyovyote huduma ingekuwa duni, tuko jumuiya moyo
ndio lakini wenzetu wameonyesha kujali raia wao zaidi kuliko kuingiza
siasa.

Mantiki ya kuamua kwenda kutibiwa nje ni kwa sababu huduma unayoitaka
hutaipata au una mashaka na huduma yenyewe. Kuibiwa au kuporwa eneo la
ajali na kufanya kuwa ndio sababu ya wakenya kuchukua majeruhi wao
hiyo ni hoja dhaifu maana hata kipigo alichopata Dr Uliomboka matibabu
yake yalishindikana Tanzania.

On 8/14/12, Devolent Mtui <deovolentem@gmail.com> wrote:
> Kazi kweli ipo. Elimu ya hela kwanza au uhai!
>
> 2012/8/13 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
>
>> Walipohitaji msaada wanavijiji walikuwa wanataka hela kwanza na
>> wengine walishaanza kuwaibia .
>>
>> On Aug 14, 12:22 am, Devolent Mtui <deovolen...@gmail.com> wrote:
>> > Wapendwa wanabidii,
>> >
>> > Nimesikitishwa sana na taarifa za ajali za ndugu zetu wakenya (kikundi
>> cha
>> > akina mama waliokuwa wanasafiri kwenda Dar kupitia Tanga). Nimesikiliza
>> > taarifa iliyorushwa kwenye Yu-tube - (website Standard Digital News -
>> http://www.standardmedia.co.ke/index.php?videoID=2000059604&video_tit...).
>> >
>> > Inaonyesha kuwa helikopta imetoka Kenya kuwapeleka majeruhi kutibiwa
>> Kenya.
>> > Ina maana kweli Tanzania tumeshindwa kutoa msaada wa kuwasaidia
>> > matibabu
>> au
>> > hawa majeruhi walikuwa critical kiasi ambacho madaktari wa Tanzania
>> > wameshindwa? Au hatukuwa tayari kutoa msaada kwa majeruhi? Au nigharama
>> > kubwa sana za matibabu hapa nchini? au kwa vile Tanga ni karibu sana na
>> > nairobi? Naomba nisaidiwe maana nilikuwa najiuliza haya maswali
>> > imekuwaje
>> > kama tuko kwa jumuia moja.
>> >
>> > Asanteni
>> > Devolent
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>


--
"Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". Regia Mtema.
--
+255 (0) 713 (784) 24 67 64.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment