Wednesday 15 August 2012

Re: [wanabidii] Re: MABASI KUFAULISHA ABIRIA

Kasi mpya labda tuangalie uwezekano wa sumatra kuanzisha travel agency ambapo mtu ukikatiwa ticket unajua ukifika nzega utafaulishwa kwenye basi la kwenda tabora, hivyo unaweza panda princes Muro kutoka dar kwenda tabora ulifika nzega unafaulishwa kwenye Sabena unaendelea na safari kwa raha.
 
Mfano basi la Mohamed trans linalotoka Dar kwenda geita likifika mwanza linabakiza abiria watatu sasa kwanini hawa abiria wasipande basi jingine badala ya hili basi kuchoma mafuta hadi Geita na abiria watatu?

2012/8/15 <kasimpya@gmail.com>
We hosea unachekesha kidogo,maana ule utaratibu unaeleweka kabisa maana unaenda kwa taratibu zake. Lakini siyo hivi wafanyavyo hawa wahuni wetu!
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

From: Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
Date: Wed, 15 Aug 2012 08:57:08 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Re: MABASI KUFAULISHA ABIRIA

Mbona kwenye ndege tunafaulishwa na hatulalamiki? unapanda ndege kwenda china ukifika dubai unafaulishwa kwenye ndege nyingine, unapanda ndege kwenda London kutokea mwanza ukifika Dar unafaulishwa nairobi unafaulishwa Dubai unafaulishwa na tuko poa tu, muda mwingine mabegi yanapotea na abiria kuhangaika.

2012/8/13 Cathy Marco <babyprincess161@gmail.com>
cpendi sana tabia za kufaulisha mana wakat mwingne ukiingia kwenye bas unasumburiwa mara ukose pa kukaaa.

On Friday, August 10, 2012 3:46:14 PM UTC+3, Jonas Kiwia wrote:
Jamani hii inakeraaa saana,na wahusika inabidi wachukue hatua.Nimekasirika saana leo asubuhi nimepanda Nyagawa Express kwenda Mafinga,na walisema wanaenda mafinga,sasa tunafika Iringa wanasema basi haliendi tena,tunahamishiwa kwenye basi jingine

Shiit,huu ni uhuuni na upumbaavuuu.Wameniharibia mood yangu kabisaaa

Regards,
Jonas
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment