Thursday 23 August 2012

Re: [wanabidii] Re: KUELEKEA SENSA

Wanabidii acheni jazba jitahidi kuchangia hoja kwa namna ya
kuheshimiana, tofauti na hapo mutasababisha tuikose michango yenye
busara na elimu ya bure. Muelewe huu ni mtandao unaosomwa na watu
duniani kote na watu wenye umri na elimu tofauti. Ukigundua mwenzio
anatumia lugha kali si vyema muanze malumbano yasiyo na tija huhitaji
kumjibu muache wenye akili watapima hoja na kumdharau yeye na wala
siyo wewe.

Rejea misemo ya wahenga wetu kama "asiyekujua hakuthamini' kichaa
akikuchukulia nguo zako ukiwa mtoni uchi unaoga usithubutu kumkimbiza
maana sasa kichaa utakuwa wewe na yeye atakuwa ni mwenye akili, never
argue with a fool people will not see the difference between the two.
Watu tunatumia muda wetu na pesa zetu ili tupate habari zenye
kutustarehesha, kutuburudisha na kutuelimisha siyo matusi

2012/8/21 rashid martin <rashidtz@hotmail.com>:
> hee yamekuwa hayo????
> waislamu wajinga kumbe???
> be carefull when select your words
>
>
> ________________________________
> Date: Tue, 21 Aug 2012 04:35:51 -0700
> From: abachamani@yahoo.com
>
> Subject: Re: [wanabidii] Re: KUELEKEA SENSA
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
>
> Kitigwa,
> Huo sasa ni ukereketwa na Udini ulikithiri.Kwanini unawatakia Watanzania
> wenzio shari hizo za kupigwa na kukamatwa na polisi
> Unajifanya kuipenda nchi yako kwa kuwalazimisha Waislam kuhesabiwa mbona
> huwalazimishi kusoma ili wasiendelee kuwa wajinga katika nchi yenu?
> Wao hawamzui mtu yoyote kuhesabiwa na hilo liko wazi na si mnasaidiwa na
> BAKWATA katika hili na wao ni kikundi kidogo tu na ukizingatia wao kwa idadi
> ni wachache tu katika nchi yenu shida iko wapi?
>
>
> Walewale.
>
> ________________________________
> From: F kitigwa <kitigwa@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Tuesday, August 21, 2012 11:22 AM
> Subject: [wanabidii] Re: KUELEKEA SENSA
>
> Kwa hali inavyokwenda hata baadhi ninaoongea nao wanasema labda aende mtu wa
> Imani yao kuwahesabu ila akienda mwingine mwenye Imani tofauti na yao
> anaweza asipate ushirikiano au hata wakamletea vurugu, naomba serikali na
> wadau wengine wanaoshughulika na usimamizi wa hii sensa wahakikishe kunakuwa
> na ulinzi wa kutosha kwa mawakala wote pasipo kujali dini zao.
> Pia kuwe na doria wakati woote wa zoezi na kama kutajitokeza kikundi au watu
> wanaotaka kuvuruga hili zoezi basi vyombo vya dola visiwaonee aibu hata
> kidogo bila kujali watakimbilia wapi hata kama ni ndani ya nyumba zao za
> Ibada wakamatwe na sheria ichukue mkondo wake.
> Tukilea huu ugonjwa mwisho wa siku Taifa litagawanyika vipande vipande kwa
> upuuzi wa watu wachache wanaotumia wengine kwa maslahi yao binafsi.
>
> Mungu Ibariki Tanzania.
>
> 2012/8/20 F kitigwa <kitigwa@gmail.com>
>
> Wadau angalieni hiyo attachment kisha msaidie kutoa ushauri mimi nimechoka
> kabsaaaaaaaaaaaaaaaa.
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment