Tuesday 21 August 2012

RE: [wanabidii] Re: KUELEKEA SENSA

hee yamekuwa hayo????
waislamu wajinga kumbe???
be carefull when select your words

Date: Tue, 21 Aug 2012 04:35:51 -0700
From: abachamani@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: KUELEKEA SENSA
To: wanabidii@googlegroups.com

Kitigwa,
Huo sasa ni ukereketwa na Udini ulikithiri.Kwanini unawatakia Watanzania wenzio shari hizo za kupigwa na kukamatwa na polisi
Unajifanya kuipenda nchi yako kwa kuwalazimisha Waislam kuhesabiwa mbona huwalazimishi kusoma ili wasiendelee kuwa wajinga katika nchi yenu?
Wao hawamzui mtu yoyote kuhesabiwa na hilo liko wazi na si mnasaidiwa na BAKWATA katika hili na wao ni kikundi kidogo tu na ukizingatia wao kwa idadi ni wachache tu katika nchi yenu shida iko wapi?

Walewale.

From: F kitigwa <kitigwa@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, August 21, 2012 11:22 AM
Subject: [wanabidii] Re: KUELEKEA SENSA

Kwa hali inavyokwenda hata baadhi ninaoongea nao wanasema labda aende mtu wa Imani yao kuwahesabu ila akienda mwingine mwenye Imani tofauti na yao anaweza asipate ushirikiano au hata wakamletea vurugu, naomba serikali na wadau wengine wanaoshughulika na usimamizi wa hii sensa wahakikishe kunakuwa na ulinzi wa kutosha kwa mawakala wote pasipo kujali dini zao.
Pia kuwe na doria wakati woote wa zoezi na kama kutajitokeza kikundi au watu wanaotaka kuvuruga hili zoezi basi vyombo vya dola visiwaonee aibu hata kidogo bila kujali watakimbilia wapi hata kama ni ndani ya nyumba zao za Ibada wakamatwe na sheria ichukue mkondo wake.
Tukilea huu ugonjwa mwisho wa siku Taifa litagawanyika vipande vipande kwa upuuzi wa watu wachache wanaotumia wengine kwa maslahi yao binafsi.

Mungu Ibariki Tanzania.

2012/8/20 F kitigwa <kitigwa@gmail.com>
Wadau angalieni hiyo attachment kisha msaidie kutoa ushauri mimi  nimechoka kabsaaaaaaaaaaaaaaaa.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment