Saturday 25 August 2012

Re: [wanabidii] Re: KIKWETE AMKATA MAINI MOBHARE MATINYI PIA

Dear Bw. Tony,
Nimekufahamu vizuri sana. Labda tutageuka kutokana na huku kukumbushana.
Mchana/usiku mwema.
Kila la kheri / Nkumba.

From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, August 25, 2012 2:19:43 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: KIKWETE AMKATA MAINI MOBHARE MATINYI PIA

John,

Tunazungumzia title ya post! Tatizo letu ndio maana tunashindwa mitihani; hatusomi swali hadi ukalielewa unaanza kujibu jambo ambalo hujatakiwa kujibu!
Wanabidii tunao huu ugnjwa wa kutotoa hoja kulingana na kichwa cha mada! Kichwa cha mada ni emotional na judgmental! Ndicho tunacholaumu; kwanini waTz tunakuwa hivi? Asiliamia kubwa katika hoja ziletwazo hapa zina ubovu huu!

Tafakari!
Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania.
From: John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 25 Aug 2012 10:09:20 -0700 (PDT)
To: De kleinson kim<dekleinson@gmail.com>; wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Cc: Abdalah Hamis<hamisznz@gmail.com>; Mobhare Matinyi<matinyi@hotmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: KIKWETE AMKATA MAINI MOBHARE MATINYI PIA

Dear Nd. Kim,
Japokuwa ni mjumbe tu lakini nimeona bora niingilie kati, kwani it doesn't seem that you are getting it.
Kwanza, hakuna mwenye chuki na yoyote yule. Tunampenda Bw. Matinyi kama tunavyojipenda wenyewe. Else, isingelikuwa kila Ijumaa hatuwezi kula breakfast bila ya kuwa na copy la gazeti la The Citizen mkononi.
Pili, hakuna aliesema kuwa mazungumzo yakishindikana na Malawi wakawa wanashikilia kuwa ziwa lote ni lao hatutoweza kutetea mpaka wetu kwa mtutu wa bunduki - nobody ever said that! Please, Nd. Kim, read the msgs thoroughly before you make your comments, as we are just wasting each other's precious time.
Kinachosemwa hapa ni ile war-mongering rhetoric and pomposity ya Bw. Matinyi ambayo imewakera wengi. Kwa mtu mzima, vita sio kitu cha mchezo na wala sio nyimbo ya kumuimbia mtoto wako. Mwalimu Nyerere mwenyewe kabla hatujampiga Nduli alisema kuwa ''vita sio lelemama"!  Au jamani hakuna wazee hapa ukumbini wakukumbuka hayo maneno ya Mwalimu? Mpo wapi akina Bw. Makundi? Najua Bw. Matinyi atakuwa anayakumbuka vizuri maneno hayo ya Mwalimu.
Kim, hakuna anaesema pia kuwa kama jirani yetu akisogeza mpaka wake nchini kwetu sisi Watanzania tukae kimya - nobody is saying that either!
Hata kama vita ikitokea kesho hakuna cha kuomba msamaha, labda wakuomba msamaha atakuwa Bw. Matinyi because he wished us that bad karma.
Kuona mbali sio kutamka kwa jeuri kuwa kesho tuivamie Malawi hata kabla mazungumzo hayajaanza.
Kuona mbali Bw. Kim ni kuiachia Unguja kuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na sisi kuwa Jamhuri ya Watu wa Tanganyika - huku ndiko kuona mbali, kwasababu hata kama leo hatutaki lakini haya mambo yatatokea huko mbeleni!
JK ni mwanasiasa na mwanasiasa kila siku is hoping for the best but at the same time is preparing for the worst! Siwezi kuendelea hapo, kwani nimevuka mipaka, labda ungelikuwa Unguja ungelifahamu nazungumzia nini! Still sijui kama unafahamu ninazungumza nini!
Bw. Kim, tafadhali, unaponafasika pitapita kule kwenye lile blog la ZANZIBAR NI KWETU, kwani mara nyingi wanaweka speeches za Nyerere na Karume. Wengi wanaelimika wakizisikiza!
Kila la kheri / Nkumba.
 
From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>; Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Sent: Saturday, August 25, 2012 3:23:13 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: KIKWETE AMKATA MAINI MOBHARE MATINYI PIA

Hiyo Blog haijielewi inafanya nini, uchambuz au kufikisha habar? Kote
wamefeli. Aliposema Matinyi walikaa kimya. Hawakuandika lolote juu ya
kauli yake, baada ya JK kusema wamekurupuka na kutoa mashambulizi.
JK ana fikra, mtazamo au muono wa kila mwananchi wa nchi hii?  JB
angekataa mazungumzo ya namna yoyote au kutokubaliana na ukweli nini
kitafuata? Mazungumzo yakishindikana na tukasimama kutetea mali yetu
kwa mtutu watarudi kuomba samahani na kusema "Matinyi aliona mbali?"
Hizo ni chuki zao kwa Matinyi. Wasishambulie jina lake,  wao ni
"potelea mbali" na waombe japo wafikie kuwa "afadhali".

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment