Friday 24 August 2012

Re: [wanabidii] Re: KIKWETE AMKATA MAINI MOBHARE MATINYI PIA

Hiyo Blog haijielewi inafanya nini, uchambuz au kufikisha habar? Kote
wamefeli. Aliposema Matinyi walikaa kimya. Hawakuandika lolote juu ya
kauli yake, baada ya JK kusema wamekurupuka na kutoa mashambulizi.
JK ana fikra, mtazamo au muono wa kila mwananchi wa nchi hii? JB
angekataa mazungumzo ya namna yoyote au kutokubaliana na ukweli nini
kitafuata? Mazungumzo yakishindikana na tukasimama kutetea mali yetu
kwa mtutu watarudi kuomba samahani na kusema "Matinyi aliona mbali?"
Hizo ni chuki zao kwa Matinyi. Wasishambulie jina lake, wao ni
"potelea mbali" na waombe japo wafikie kuwa "afadhali".

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment