Wednesday 22 August 2012

Re: [wanabidii] Re: HUKUMU YA KESI YA UCHAGUZI IGUNGA

Tatizo ni chombo kinacho simamia uchaguzi; Kama tume ya uchaguzi ingetenda haki, tungeokoa uhai, muda, pesa, na haiba ya viongozi wa ngazi ya juu ccm. Kwa sababu, ushahidi uliotolea mahakamani ulijulikana kwa tume hiyo hata kabla ya siku ya kupiga kura huko Igunga.

Da: lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>
A: wanabidii@googlegroups.com
Inviato: Martedì 21 Agosto 2012 21:40
Oggetto: Re: [wanabidii] Re: HUKUMU YA KESI YA UCHAGUZI IGUNGA


Dr kafumu this time kafumuliwa maskinii. Ila walomponza ni safu mbovu ya juu, sasa bora atafute kitu kingine cha kufanya manake hatoweza tena kupita hata kwa dawa. Chadema wanazidi kujitengenezea mazingira swaafi ya 2015. Mungu ibariki tanzania, tuepushe na vurugu, ghasia na machafuko. Aamen
------------------------------
On Tue, Aug 21, 2012 1:46 PM EDT frank John wrote:

>Yona unapozungumzia filamu ya 24 ilinilazimu kununua series zote nilipokuwa nje ya nchi! Ni tamthilia yenye kuonyesha ushawishi na athari za pesa kwenye taasisi zetu za ulinzi na usalama!
>Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
>
>-----Original Message-----
>From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
>Date: Tue, 21 Aug 2012 17:25:41
>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>Subject: [wanabidii] Re: HUKUMU YA KESI YA UCHAGUZI IGUNGA
>
>
>Ndugu bahati hao viongozi wengi wa kisiasa watoto wao hawasomi nchini
>hata pale wanapoandaa maandamano watoto wetu wanaposhindwa kwenda
>shule wao wakwao wako afrika kusini , wakati wanasababisha shuguli
>nyingine kutoelendea wao wana mikataba minono tanesco na IPTL , hawa
>usitegemee walete lolote katika nchi hii zaidi ya kuangala maslahi yao
>kwa kulinda maovu yao kwa vivuli vya waheshimiwa kama Charles Logan wa
>tamthilia ya 24 .
>
>On Aug 21, 7:41 pm, De kleinson kim <deklein...@gmail.com> wrote:
>> Loh! Jesian,
>> Gari la mkopo inakuwaje? Ataendelea kulipa mwenyewe? Fweza alizokwisha
>> pata je, zinarudishwa?
>> Au "kilichoenda kwa mganga hakirudi". :)
>
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com/>
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com/>
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com/>
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




0 comments:

Post a Comment