Tuesday 21 August 2012

Re: [wanabidii] Re: HUKUMU YA KESI YA UCHAGUZI IGUNGA

Yona unapozungumzia filamu ya 24 ilinilazimu kununua series zote nilipokuwa nje ya nchi! Ni tamthilia yenye kuonyesha ushawishi na athari za pesa kwenye taasisi zetu za ulinzi na usalama!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom

-----Original Message-----
From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Date: Tue, 21 Aug 2012 17:25:41
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Re: HUKUMU YA KESI YA UCHAGUZI IGUNGA

Ndugu bahati hao viongozi wengi wa kisiasa watoto wao hawasomi nchini
hata pale wanapoandaa maandamano watoto wetu wanaposhindwa kwenda
shule wao wakwao wako afrika kusini , wakati wanasababisha shuguli
nyingine kutoelendea wao wana mikataba minono tanesco na IPTL , hawa
usitegemee walete lolote katika nchi hii zaidi ya kuangala maslahi yao
kwa kulinda maovu yao kwa vivuli vya waheshimiwa kama Charles Logan wa
tamthilia ya 24 .

On Aug 21, 7:41 pm, De kleinson kim <deklein...@gmail.com> wrote:
> Loh! Jesian,
> Gari la mkopo inakuwaje? Ataendelea kulipa mwenyewe? Fweza alizokwisha
> pata je, zinarudishwa?
> Au "kilichoenda kwa mganga hakirudi". :)

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com>
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com>

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment