Saturday 25 August 2012

Re: [wanabidii] RE: HOFU YA UISLAM HOMA YA SENSA/Tanzania

Ndugu zangu waislamu jiepushe na watu wanaoutumia vibaya uislamu kwa
manufaa yao binafsi kama hili la sensa. Nafikiri kuna maslahi binafsi
lakini walioshupalia hili wanajifanya ni jambo la waislamu wote.
Wamefika mahala pa kuwafanya waislamu kuonekana kama kichwa cha
mwendawazimu. Kila mwenye ugomvi wake au nia yake anauchukulia uislamu
kama uchochoro.

Upo ushahidi unaoonyesha mambo kadhaa yanayoitilafiana kwa mfano hapa
munatwambia TBC1, ITV na gazeti la Mtanzania ni vyombo vya mfumokristu
na mara kadhaa munaitaja serikali kuwa ya mfumokristu na kwamba
maamuzi mengi yanatolewa kwa kuwapendelea wakristu. Kwamba Chadema ni
chama cha wakristu na Dr. Slaa kateuliwa na baraza la maaskofu.

Waislamu hao hao wanasema wakristu hawaitaki serikali ya Kikwete kwa
sababu yeye Kikwete ni muislamu. Waislamu hao hao pia wakati wa
uchaguzi mdogo Igunga walikubali kutumiwa na serikali ya CCM
kutoipigia kula Chadema kwa sababu muislamu mwenzao (pandikizi)
alidhalilishwa na Chadema. Munataka tuwaelewe vipi? kwenu kila kitu ni
kulalamika tu na kwamba munadhulumiwa. Ebu jitahidi kuwa objective,
consistent and coherent munapokuwa munajenga hoja zenu za kuupigania
uislamu tofauti na hapo mutachukuliwa kama watu walioshindwa maisha na
kutoa visingizio lukuki. Watanzania kama watanzania tunazo changamoto
nyingi za kuangaikia ili tuweze kusonga mbele, kuutanguliza udini
mbele sioni kama ni suluhisho la matatizo yetu

Mungu ibarki Tanzania iepuke pepo mbaya za udini zinazolinyemelea taifa

On Sat, Aug 25, 2012 at 8:09 AM, Salim Himidi <bwanatosha@hotmail.com> wrote:
> Dear Sheikh Mhamed,
> As always! Your presentation abides by the rules: both ethical and
> historical
> I wish further courage, wisdom & perserverance in this vital quest for
> TRUTH,
> in the interest of all Eastern Africans: Christians, Cannibals, Muslims,
> Pagans , Agnostics, Atheists ...
> There's no avoidance on this issue, if we all have PEACE & HARMONY within
> communities of our
> Lands/Nations/States.
> With my warmest support & respect,
> Salim H. M. Bwanatosha
> Perpetual Student of History, Social Anthropology and Comparative Swahili.
> Paris, France
> +33-6-33071051.
>
>> Date: Sat, 25 Aug 2012 07:07:50 +0300
>> From: mohamedsaid54@gmail.com
>
>> Hii makala niliiweka jana usiku katika JF.
>>
>> Hawakuwa na ustahamilivu wameiondoa jana hiyo hiyo.
>>
>> Sasa sijui kama na wao ni sehemu ya mfumokristo kama TBC1, ITV, gazeti
>> la Mtanzania na mfano kama huo lililoghushi tangazo la sensa au vipi.
>>
>>
>> M.
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment