Saturday 25 August 2012

RE: [wanabidii] Mwanahalaisi na islamic media

Huenda japo yanaandika habari za uchochezi lakini inafahamika kuwa haziwezi kumchochea mtu mwenye akili?

--- On Fri, 8/24/12, Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com> wrote:

From: Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>
Subject: RE: [wanabidii] Mwanahalaisi na islamic media
To: "Wanabidii Mawazo" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, August 24, 2012, 4:21 AM

Licha ya kupinga sensa, ni Magazeti ambayo yamekuwa yakiandika habari nyingi za uongo na uchochezi lakini hayajawahi kuchukuliwa hatua yoyote!
 
Date: Fri, 24 Aug 2012 03:33:46 -0700
From: mobinsons@yahoo.com
Subject: [wanabidii] Mwanahalaisi na islamic media
To: wanabidii@googlegroups.com

Wakati Serikali ikisisitiza kuwa sensa ni lazima, vyombo vya habari vya kiislam, vinashiriki kuipinga ,redio zimekuwa zikifanya hivyo na hata leo siku mbili kabla ya sensa magazeti yote ya kiislam yametoka nahabari zinazolenga kuikwamisha lakini hatujasikia serikali ikichukua hatua kama za Mwanahalisi.

kwa kuwa sirikali inasema itamshughulikia mtu yeyote atakayekwamisha Sensa nitashangaa kama magazeti ya leo hayatapewa onyo au kuchukuliwa hatua yoyote.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment