Allan,
Hayo ni madhara ya kuwa na nchi ya rushwa kuanzia juu mpaka chini. Kimsingi hata walimu nao ni washenzi tu; kwa nini waziachie? Mdogo wangu mmoja akiwa mdogo darasani huko Zimbabwe miaka ya 1980 mwishoni, alikumbana na mwalimu Mmarekani aliyesema kwamba Mlima Kilimanjaro uko Kenya. Akibisha katu kata mpaka likazuka tifu darasani lakini ikasaidia shule ile kulirekebisha hilo jambo moja kwa moja. Hapa Marekani ofisini kwangu kulikuwa na ramani ya Afrika Mashariki yenye uozo huu; niliichanilia mbali na kuwafuata wenye duka la ramani lakini sikufanikiwa kuzichukua zote. Kama tunaipenda nchi yetu tukusanye hizo ramani zote tuzipeleke ofisi yoyote ya CCM tuziache huko.
Matinyi.
Date: Tue, 7 Aug 2012 13:10:26 +0100
From: allanlawa@yahoo.co.uk
Subject: RE: [wanabidii] Mpaka kati ya Tanzania na Malawi: POLITICS versus FACTS
To: wanabidii@googlegroups.com
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

madai ya malawi ya kuwa ziwa nyasa lote liko katika nchi hiyo limeimairishwa na tabia ya viongozi wetu ya kutosimamia mambo ya msingi ikiwamo elimu. miaka ya 1990 nilipata kuandika na kuonya kuwa tabia ya uongozi wa elimu nchini wa kunyamazia kusambaa kwa ramani nchini zinzoonyesha kuwa ziwa nyasa kuwa ni malawi ulikuwa upotoshaji mkubwa na ilikuwa inaimarisha madai ya nchi hiyo wakati wa kamuzu banda kuwa ziwo lote ni nchi hiyo. tatizo la ramani zinaonyesha ziwa malawi bado ziko madukani na hata mitaani, hakuna anayejali huko serikalini. viongozi wsetu wamekaza shingo wanaangalia nafasi zao za madaraka pekee. ninaitaka serikali kupiga marufuku vitabu vyote na ramani zote zikiwemo za ukutani zinazoendelea kuuzwa na zilizopo kokote nchini zinazoonyesha kuwa ziwa nyasa ni malawi. vijana wengi wanaelewa kuwa ziwa hilo linaitwa malawi hiyo inatokana na ulegevu wa kusimamia masuala ya msingi ya kitaifa. --- On Tue, 7/8/12, Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com> wrote:
|
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment