Sunday 19 August 2012

RE: [wanabidii] Kula nyama ya nguruwe unaweza kupata kifafa

Ni kweli Watanzania waliowengi ni wabishi tu si kwamba hawajui, wengi wanajua madhara yake. Katika vitu ambavyo madaktari na maafisa mifugo ni pamoja na kuwazuia wafugaji kula au kuuza mizoga. Nilianza kuliona hili nikiwa mdogo wananchi wakimlaumu afisa mifugo kwa kuteketeza mzoga. Yaani hapa wanaweza kutafuta njia za kukuhamisha au kukupoteza. Eti ng'ombe mkubwa aliyekufa kwa ugonjwa asiliwe, thubutu! Hapa daktari anapaswa kuwa na msimamo kwa taaluma yake.

Hata machinjioni nako taabu kweli hasa kwenye machinjio yetu ambayo mmiliki wa mfugo/mfanyabiashara anaingia. Wanafahamu kama kuna kiungo kinatatizo wanaondoa hata kabla ya mkaguzi hajakagua. Hivyo mkaguzi anaweza akapitisha ngombe aliyekuwa na ugonjwa.

Watanzania si kwamba hawaelewi mambo haya ni uroho/tamaa na pengine umasikini vinachangia kwa kiasi kikubwa. Mfano mzuri ni ugonjwa wa homa ya bonde la ufa pale Dodoma mwaka 2007, maeneo ya wanaokula mizoga iliwaumbua ukilinganisha na maeneo ya Waislam. Tunatakiwa kubadilika tuogope hata vinavyoua kesho si vya papo kwa papo tu.
-----Original message-----
From: Maurice Oduor
Sent: 19/08/2012, 19:19
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Kula nyama ya nguruwe unaweza kupata kifafa


Hildegarda,

Hapo umenena ukweli that no one can deny. Maradhi tunajiletea wenyewe
kwa sababu ya kutofahamu misingi yao.

Courage



On 8/19/12, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:
> Ni kweli kabisa nyama ya nguruwe isiyopikwa vizuri minyoo ya tegu inaweza
> kukuletea kifafa kutokana na matezi inayotengeneza katika ubongo inayoathiri
> mishipa ya fahamu (nerves). Ila, watu ni wabishi kukubali. Data ya kijiji
> kimoja milimani Morogoro ilionyesha kupanda kwa kifafa baada ya kuanzisha
> ufugaji wa nguruwe ktk kuongeza kipato cha wananchi. Nyama inauzwa vibaya
> sana vilabuni. Licha ya kuwapatia fedha, imewapatia maradhi.
>
> Pia, wale wafanyao kazi za fumigation, kupaka rangi, treatment ya mbao na
> hao wa saluni za akina mama na baba wanakopaka dawa za kubadili nywele.
> Hawavai protective gear. mafundi utawaona wanapuliza rangi za magari; au za
> katika ujenzi kupaka rangi; sprays za madawa saluni ambapo hafungi pua
> anavuta hewa ndani. hao nao baadhi yao wakija kuumwa magonjwa ya kushindwa
> kupumua au ya kifafa-wanatafuta mchawi. Huku anapuliza madawa au rangi
> anaongea, anavuta sigara. Bado hao ambao hupiga madawa mashambani kwa
> kutumia babomba huku havai kuziba mdomo wala pua au miwani. au wa melini na
> fumigation kisha amekaa humo ndani anavuta na sigara. hao baadhi hupata
> kifafa.
>
> Bado hawa ktk jamii ambao hutumia dawa za mbu na za aina nyingine kupiga ktk
> kabeji na mboga nyingine ambapo dawa hizo si za matumizi hao bali hutumia
> kuua wadudu.Tunakula madawa unakuja kuumwa maradhi yasiyojulikana. Wengine
> huiba mboga na matunda yaliyopigwa madawa ya kilimo ambayo yanasema-usivune
> na kula mpaka baada ya wiki au wiki 2 za kupiga dawa. Lakini vibaka huja
> kuiba mboga, matunda au mnyama aliyepigwa dawa kabla ya muda kuisha na kuuza
> nyama au matunda keshoyake. Haya huingia sokoni na kuliwa na watu halafu
> kuanza kuugua pumu na magonjwa mengine ya mfumo wa hewa. Kwa jinsi wabongo
> tulivyo na dharau, hivi vyakula vya kununua migahawani ya kukaangia mafuta
> ya transfoma za umeme, maziwa wanachemshwa na kuwekwa katika chupa za
> plastiki yakiwa yamoto na unaiona imejikunja; ugali unapikwa ili uwe wa moto
> unatiwa katika mfuko wa plastiki hizi za madukani na kuwekwa katika sururia
> liwekwalo ktk sufuria lingine la maji ya moto na kupewa mteja ale wa
> moto. Plastiki nyingine huyeyuka na kuingia ktk ugali na ni sumu mwilini
> hazipo kwa kupashia moto vyakula. Tunapunguza umri wa kuishi, kuleta kansa
> na kusababisha vizazi vyt vilema fulani kwa kutokuzingatia misingi ya
> afya.Ukijaribu kumuelekeza mtu unapomkuta hakuvaa protective gear, anapaka
> madawa makali ya kubadili nywele mtu havai gloves anamsugua kwa vidole tupu
> na makucha hata kama gloves zipo anaona zinamchelewesha ufanisi, havai.
> Kusemasema anakuona kama kero, unajidai atakufa anyway maana maradhi yapo
> mengi.
>
> Mungu atusaidie. Haya ni ya nyongeza ya kumegeana mkate.
>
>
> ________________________________
> From: Mashaka Mgeta <mgeta2000@yahoo.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Sunday, 19 August 2012, 16:48
> Subject: Re: [wanabidii] Kula nyama ya nguruwe unaweza kupata kifafa
>
>
> Ni angalizo zuri INGAWA inawezekana ikawa rahisi kuvumilia maumivu
> yanayotokana na kuchomwa kwa ncha ya sindano kwenye mboni ya jicho kuliko
> kuacha kukitumia kitoweo hicho.
>
> Ni mtazamo tu
> ------------------------------
> On Sat, Aug 18, 2012 7:21 AM PDT Augustino Chengula wrote:
>
>>Kwa wale wanofuga nguruwe, wanaokula kiti moto lakini na wale
>>wasiohusika na lolote kati ya hayo bado wanaweza kupata ugonjwa
>>unatokana na minyoo wanaoitwa tegu (tapeworm) unaoweza kukupelekea
>>kuwa na kifafa. Kwa muda mrefu watu wameamini ndugu zao wenye kifafa
>>wamelogwa au wameurithi, wengi hawajajua kuwa unaweza kupata ugonjwa
>>wa kifafa kwa kula nyama ya nguruwe ikiwa mbichi au haijapikwa vizuri
>>(kitimoto jina maarufu nyakati hizi za sasa) yenye lava wa tegu.
>>Lakini pia kula mboga za majani zisizooshwa vizuri au kupikwa vizuri.
>>Kwa kujielimisha zaidi soma hapa http://achengula.blogspot.com/
>>--
>>
>>
>>
>>
>>*To all the questions of your life YOU are the  most possible answer. To
>>all the problems of your life YOU are the best solution. Trust yourself*
>>
>>--
>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.



--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment