Monday 20 August 2012

Re: [wanabidii] KUELEKEA SENSA

Napata tabu sana na uelewa wa baadhi ya watu wa dini ya imani yangu. Ukisoma vizuri kiambatanisho hicho utagundua kuwa hata aliye andika elimu yake ina mushkeri!

Soma vizuri kiambatanisho uone makosa ya kisarufi na mpangilio wa sentensi. Huu unaweza kuwa mradi wa watu wachache wenye malengo maalumu.
Kama madai ya kutoshiriki sensa yangekuwa na uzito nadhani wangetumika wasomi wa mum kuhamasisha kutoshiriki sensa.
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: F kitigwa <kitigwa@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 20 Aug 2012 17:57:40 +0300
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] KUELEKEA SENSA

Wadau angalieni hiyo attachment kisha msaidie kutoa ushauri mimi  nimechoka kabsaaaaaaaaaaaaaaaa.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment