Thursday 23 August 2012

Re: [wanabidii] KIKWETE AMKATA MAINI MOBHARE MATINYI PIA

Dokta,

Nilidhani chuki binafsi inahusisha watu wanaofahamiana na kujengeana chuki kwa sababu mbalimbali wanazozielewa wenyewe. Ninachokiona hapa mtu anamchukia mtu hata hawajakutana au kuonana. Inawezekana chuki inatokana na kuona anazidiwa kitu fulani kama hoja, uwezo wa akili, sifa za mchukiwa na hata kwa mtu mwenye chuki kumwambukiza rafiki yake wanayefahamiana chuki hiyo naye kudakia!

Kwa wasomi wanaotaka kufanya utafiti, katika behavioral sciences au social psychology, hii ni topic muhimu ya kuifanyia study!
Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania.

From: makubi55 <makubi55@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 23 Aug 2012 09:23:51 +0200
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Cc: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii] KIKWETE AMKATA MAINI MOBHARE MATINYI PIA

Yes, hizi ni chuki binafsi.  Watu wana malengo na mentality tofauti humu

Sent from my iPad

On 23 Ago 2012, at 9:19 asubuhi, "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote:

Elisa,

Nchi hii imefikiia pabaya sana na kuna siku sisi wenyewe tutatwangana tu humu na wala sio Malawi!

Angalia kichwa cha habari ni very Sadistic na kwa siku mbili naona watu wakimbeza Matinyi, Kafumu n.k. Yote hii ni chuki binafsi juu ya watu; mtu na akili zake anafurahia mtu mwingine kuharibikiwa au kupotelewa na alichokuwa nacho...hii ni sifa kamili ya unyama, kutopendana na kutohurumiana!

Sijui nani ataisahihisha hali hii maana inazidi kwa jamii yetu na hasa rika la kati ya miaka 20-35! Tukienda na mwendo huu wa kiinyama, hatufiki mbali tutapigana tu! Sio ustaarabu kuchukiana kwa kitu ambacho kinamhusu mtu au binadamu mwenzako. Sijui siasa ndiyo inatuelekeza huku au ukosefu wa maadili mema tu. Inasikitisha sana!
Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania.

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Date: Wed, 22 Aug 2012 03:57:35 -0700 (PDT)
Subject: Re: [wanabidii] KIKWETE AMKATA MAINI MOBHARE MATINYI PIA

Kichwa cha habari na maelezo haya yangesubiri mgogoro wa mpaka ukaisha ndipo yaandikwe. Majeshi si ya Kikwete ni ya kulinda nchi. Kikwete akiamua kuiuza nchi yatailinda. Ili mradi mazungumzo yanaendelea na Malawi 'have not listened' Huwezi kuiondoa Military option eti kwa kuwa Rais kasema. Anaweza kulazimika kubadili usemi wake. Hatujasikia rais akizuia watanzania kutochota maji ya ziwa Nyasa kwa kuwa ameamua ni mali ya Malawi. Hatujasikia wavuvi wa Tanzania wameenda kuvua wakatekwa na Rais akasema shauri lao. Yakichagiza hayo atasema anafuta kauli.
Omba mazungumzo yafanikiwe la sivyo anaweza kulazimika/kulazimishwa kubadili kauli
Au siyo!

--- On Tue, 8/21/12, John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com> wrote:

From: John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
Subject: [wanabidii] KIKWETE AMKATA MAINI MOBHARE MATINYI PIA
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, August 21, 2012, 5:32 PM

KIKWETE AMKATA MAINI 
MOBHARE MATINYI PIA!

Bw. Matinyi kazizowea siasa za kikoloni
Hata Unguja atataka ivamiwe ikitaka kuacha Muungano

Zanzibar, Tanzania
Kwa RAIS Jakaya Kikwete kusema kuwa hajaliagiza Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kupigana vita na Malawi kwa sababu za mpaka wa Ziwa Nyasa 
kati ya nchi hizo mbili aliwakata maini sio Membe na Lowassa tu, bali mpaka yule muandishi mkorofi wa gazeti la The Citizen anaejulikana kwa jina la 
mapambano (nom de guerre) kama Mr Eagle, wakati jina lake hasa ni Mobhare Matinyi.
Katika ukumbi wa Wanabidii Bw. Matinyi bila ya haya na bila ya kuwa amelewa gongo alinukuliwa akiandika…" …invade Malawi (because Lilongwe won't listen), 
kick out every stupid guy and restore a new sensible government. We did it in Uganda, why not in Malawi? After all Joyce Banda has already said that she 
is ready to die for her country - so let us help her."

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment