Friday 24 August 2012

Re: [wanabidii] Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Morogoro Aachia Ngazi

Hayo ndiyo mazoea na ujanja wa siasa za Tanzania, yawezekana kweli
kutoelewana kwao kunatokana na sababu za msingi au ndo hayo mambo ya
mamluki. Tangu hawa jamaa wa Chadema waanzishe hiyo pressure ya M4C
hatujasikia wala kuona mambo yaliyowazi toka kwa wapinzani wao wa
karibu(CCM) kuzima pressure hiyo. Pengine hiyo ndo namna ya
kuwapunguza speed. Mwenye taarifa zaidi kutoka huko Mji kasoro bahari
atujuze

2012/8/24 Mashaka Mgeta <mgeta2000@yahoo.com>:
> Mi ninadhani M4C ina nguvu hadi ndani ya Chadema yenyewe. Labda ndo matokeo
> yake.
>
>
>
>
> ________________________________
> From: Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
> To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Friday, August 24, 2012 7:05 AM
> Subject: [wanabidii] Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Morogoro Aachia Ngazi
>
> Katibu wa Chadema wa Mkoa wa Morogoro ameachia ngazi baada ya kutokea
> kutoelewana kati yake na Mhe. Susan Kiwanga kuhusiana na lengo la M4C .
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment