Wednesday 15 August 2012

Re: [wanabidii] Jina Langu ni Hamisi Kigwangalla!

HK, Tunashukuru kwa usahihi wa jina.

2012/8/14 linus kinyondo <linusk@consultant.com>
Kaka nashukuru sana kwa masahihisho yako. Lakini naomba usiishie hapo tu tusaidie na namna ya kulitamka hili jina manake naona kibantu kinakuwa kigumu sana siku hizi. Mwisho wa jina lako kuna double L (LL) sasa sijui kwa matamshi inakuwaje kwani tunayoyaandika humu huwa tukipata nafasi huyaongea pia isije siku ukasikia mtu akilitamka vibaya jina lako

----- Original Message -----

From: Dr. Hamisi A. Kigwangalla

Sent: 08/14/12 03:16 PM

To: mabadilikotanzania, wanabidii

Subject: [wanabidii] Jina Langu ni Hamisi Kigwangalla!

Kumekuwa na tabia ya watu kulikosea jina langu la ukoo, na nimeona hii imekuwa kama ndiyo ada, kila kukicha watu wanalikoroga jinsi wanavyotaka wao...naomba niwafahamishe kuwa jina langu ni K.I.G.W.A.N.G.A.L.L.A ama kama huwezi ni bora ukafupisha kwa kuniita Kigwa, ama HK kama rafiki zangu wengine walivyozoea kuniita...na hata hivyo watanzania tujengeni utamaduni wa kuzingatia, kuandika na kutamka majina ya wenzetu ipasavyo...ni utamaduni wa kistaarabu tu na wenzetu wanajisikia vizuri kama tunawajua vizuri kwa majina yao na si vinginevyo!
Wazungu kote nilikopita huwa hawalikosei jina langu, leo hii sisi wabantu na wa-nilotic na wakushtic tunalikosea???!

Best regards,
Kigwangalla.

--
"Vision is the ability to see the invisible!"
Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
P.O.Box 22499,
Dar es salaam.
Tanzania.
Phone No: +255 754 636963
                +255 782 636963
website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
Skype ID: hkigwangalla
Blog: blog.hamisikigwangalla.com 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment